Fedha nyingi zimetumika kununua pikipiki zaidi ya 18,000 zitakazosambazwa nchi nzima!
Mtu unajiuliza hizo fedha takriban 54 billion si zingetumika kuwasaidia watu maskini katika mambo mangapi?
Watanzania tuamke nchi sio ya viongozi ni yetu na yanapofanyika matumizi mabovu kama haya wanaoumia ni sisi wananchi.
Mmewahi kujiuliza kwanini zinatumika gharama kubwa kiasi hiki huku serkali ikijinadi kuwa inafanya vizuri kuwatumikia wananchi? Woga huu unatoka wapi? Fedha hizi zinatoka wapi?