Pikipiki za honda zinauzwa

PIKIPIKI BADO ZIPO WADAU TEMBELEA OFISI YETU YA MSASANI UJE UZIONE MWENYEWE.
KAMA KUNA MDAU ANATUMIA WHATSAPP GROUP YA BIASHARA NAOMBA ANIUNGANISHE NA
NAMBA YANGU NI 0689-866100.
 
Habari wadau wa biashara, napenda kuwatangazia Kwa wale wanunuzi wa piki piki, Tunazo piki piki za Honda kutoka Quality Motors ltd. Mnaweza kutembelea na kuziona kwenye showroom ya Msasani karibu na Hospitali CCBRT, Msasani. Piki Piki za Honda ni mpya na imara kabisa, na vile vile zina fahamika sana kwa wadau wetu.

Aina za piki piki ambazo tunazo ni kama ifuatavyo;

1. Honda CG 110 - Bei ni mil.1.9 pamoja na usajili na warranty ya mwaka mzima.
2. Honda Ace 125 cbd- Bei ni mil. 2.8 pamoja na usajili na warranty ya mwaka mzima.
3. Honda TUF 125- Bei ni mil.3.4 pamoja na usajili na warranty ya mwaka mzima.

mkuu ungekuwa unaweka kila aina ya pikipiki na picha yake ingependeza sana
 
We ndiyo ****** kama siyo tahira wa kutupwa kwa akili za kawaida tu Honda na hizo za kichina zipi ziko barabarani zaidi. Katika pikipiki 1000 utakazoziona road 980 ni mchina why! majibu unayo
matusi ya nini wakati wewe ndo kibua hutulii karaini ukakaangwa,,,bei ndo shida,,mchina rahisi na hazidumu ,nunua Honda original utamwachia motto wa mjukuu wako
 
Habari wadau wa biashara, napenda kuwatangazia Kwa wale wanunuzi wa piki piki, Tunazo piki piki za Honda kutoka Quality Motors ltd. Mnaweza kutembelea na kuziona kwenye showroom ya Msasani karibu na Hospitali CCBRT, Msasani. Piki Piki za Honda ni mpya na imara kabisa, na vile vile zina fahamika sana kwa wadau wetu.

Aina za piki piki ambazo tunazo ni kama ifuatavyo;

1. Honda CG 110 - Bei ni mil.1.9 pamoja na usajili na warranty ya mwaka mzima.
2. Honda Ace 125 cbd- Bei ni mil. 2.8 pamoja na usajili na warranty ya mwaka mzima.
3. Honda TUF 125- Bei ni mil.3.4 pamoja na usajili na warranty ya mwaka mzima.

kwa mawasiliano zaidi fika showroom yetu ya Honda, Eneo la Msasani. Au piga simu 0717 518359. Barua pepe- jonelias6@gmail.com

Honda Spare parts zipo tunauza hapo hapo ofisini. Karibuni wateja wetu.
ubarikiwe kwa ukarimu na majibu yako mazuri,,,wish ningeweza kununu nikuunge hata moja,,inshallah utapata kwa majibu yako
 
Niliwahi kuona padri mmoja anaendesha pikipiki lenye rejeta,zinapatikana wapi hizi?
mi nazifahamu Honda CT110 Ndio zilikuwa zinatumika na mapadri na wachungaji engine yake inapozwa na upepo na clutch yake ni automatic. gia nne. Kwa sasa hizo Honda ct 110 hazipo stock. Tuna spare za honda ct 110 tu.
 
ubarikiwe kwa ukarimu na majibu yako mazuri,,,wish ningeweza kununu nikuunge hata moja,,inshallah utapata kwa majibu yako
Asante mkuu, kama wateja tayari nimeshapokea wapo wanne ambao wamenunua Honda cg 110 ya mil 1.9. hapa hapa kwetu msasani. Tena wapo wa wateja wa spea nao wamekuja kwangu wamenunua sana spea za honda
Nasubiri wateja wengine wajitokeze kuja showroom kumalizia stock ya piki piki. Nawashukuru sana wanajamii forums
 
amen
 
hiyo cg 110 na boxer 150 ipi iko vizuri kwa uzoefu bila kuangalia brand name,,sory
Ipi Bora? mi nitakwambia Honda cg 110 ni bora kuliko boxer150. kwasababu;

Honda CG110, Sifa yake ya kwanza ni engine yake ni cc 110, ni nyepesi. Inatembea spidi mita 120 kwa saa. Honda cg 110 inakimbia kwa mwendo wa wastani. Ina mngurumo wa chini yaani silencer yake ipo chini Ina carrier ya kubebea mizigo isiopungua kilo 120. wadau wengi wamependa Honda cg 110 kwenye ulaji wake wa mafuta ni mdogo kuliko pikipiki zingine. inaweza kutembea km 70 kwa lita. kwahiyo kwa bajeti iko vizuri. kwa matengenezo yake utasahau gharama kwa maana spare zake kuisha inachukua miaka 2 mpaka mitatu ndio ubadilishe spare.

Kwa Boxer 150, ina engine cc 150 kwahiyo ni kubwa na nzito. hata kwenye ulaji wake wa mafuta ni mkubwa inatembea km 40 kwa lita. watu wanachopendea boxer 150 ni kwamba ina spidi na ina mwendo wa hatari kuliko piki piki zingine. na vile vile ina carrier kubwa ya kubebea mizigo mizito. tatizo la boxer ni kwamba gharama za kuitunza. ukinunua boxer mpya baada ya miezi mitatu utaanza kubadilisha gasket, mara spocket mara hiki nk. kwahiyo utajikuta unaingia gharama za kwa mara kwa mara kwenye boxer. lakini pamoja na hayo bado wapo wabongo wengi ambao hawajali hasara kwasababu wanaziona boxer zipo nyingi mtaani basi wanakua hawajui effect zake baadaye. kwahiyo shekhe nimeshakujibu hapo.
 
WP_20160108_12_34_10_Pro.jpg
 
Mkuuu hongezen na zile kubwa basi hata mtumba, ka vile xr 600l, xrl 650. Street legal.
 
kampuni yetu hawaagizi honda za mtumba. hizo pikipiki unazosema ni bei kubwa mno, ni watu wachache sana wanaoweza kununua pikipiki hizo. honda za bei kubwa tunazouza kwa sasa ni hizi honda xl 125 lek ambazo ni million 7. brand new
 
Habari tena, kuna wadau wamenipigia simu kuulizia spare za Honda.

Kwa spare za Honda Xl125, Xr125, Ctx200, CT110 zinapatikana ofisi yetu ya tazara karibu na TCC. Au fika kariakoo kwa matukutuku.

Kwa spare za Honda Ace nazo zinapatikana ofisi yetu ya Msasani,spare ambazo tunazo ni kama ifuatavyo:
Spocket
Driving Chain
Dumper/bush
Head Lights
clutch cable
brake cable
clutch handle
piston, piston ring, piston clip
speedometer cable
clutch plate
disk plate
foot rest bar
face cover ya dashbodi au visor
spark plug
indicators
pamoja na vitu vingine. wasiliana nasi njoo ofisi yetu ya msasani.
 
Back
Top Bottom