IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,182
- 7,838
Umejieleza vizuri sana na inafaa sana kwa hiyo kazi ya marketing mkuu, unawajibu wadau vizuri na pia kuwaelekeza kwa washindani wako wa kichina, safi Sanaa.Honda TUF 125 mkuu, ickstarter. kwa Piki piki ya Honda yenye engine ya 125 cc inauwezo wa kutembea mpaka KM 160 au mpaka KM 220 bila kupumzika. zaidi ya hapo utachemsha na kuunguza engine . Honda za engine kubwa kama 200cc mpaka 250 cc hizo zinaweza kutembea umbali mrefu zaidi ya hapo.
Dar mpaka Songea ni umbali wa KM 1000. kwa piki piki ya 125 cc haitaweza safari hio. ni bora upakize piki piki kwenye lori usafirishe ipelekwe huko. Sidhani kama kuna dereva ambaye atakubali kuendesha umbali mrefu wa KM 1000 na piki piki.
kama picha nilizotuma hujaziona basi nipe namba yako ya whatsapp nikutumie. Asante.