mzaramo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2006
- 6,371
- 5,184
Team Madale presha inapanda presha inashuka.Kaazi kweli kweli, pressure mnayo huku, kule Madale wazazi na watoto wao wawili ni happy happy tu.
Mpelekeni mtoto kwa baba ake
Team Madale presha inapanda presha inashuka.Kaazi kweli kweli, pressure mnayo huku, kule Madale wazazi na watoto wao wawili ni happy happy tu.
Mkuu tupunguze ushabiki, hiyo Picha unaionaje ongea tu ukweliKaazi kweli kweli, pressure mnayo huku, kule Madale wazazi na watoto wao wawili ni happy happy tu.
utafikiri mond kambeba ivannyie acheni picha zenu hizo za kuvizia vizia duniani wawili wawili
Pressure ipi mkuu, Tiffa yalisemwa hayo sasa watu wameumbuka mtoto ni Diamond mtupu. Mtoto Nillani yuko Madale kwa baba yake.Team Madale presha inapanda presha inashuka.
Mpelekeni mtoto kwa baba ake
Mkuu ongea tuHapa aiseeh ngoja ninyamaze tu
Kuna movie niliangalia Tajiri katongoza mke wa tajiri mwenzie, mke akamwambia mmewe, mme akamwambia mkewe mkubalie tupige pesa, Tajiri mtongozaji alipigwa tukio hajaamini kwa usirikiano wa mke na Mme. Hii muvi inasumbia akili yangu kuhusu hii couple
Mie au mond??mh kazi unayo
Mashavu ya bi Sandra.Mkuu tupunguze ushabiki, hiyo Picha unaionaje ongea tu ukweli
ilo swali linawahusu wote, mond na ivan lakini kwa mond ajiulize mara tatu tatu zaidiHilo swali kwa Ivan au kwa mond mkuu??
mm mwenyewe bado cjalielewa hili movie ndo mana Ivan hana hata pressure,Kuna movie niliangalia Tajiri katongoza mke wa tajiri mwenzie, mke akamwambia mkewe mkubalie tupige pesa, Tajiri mtongozaji alipigwa tukio hajaamini kwa usirikiano wa mke na Mme. Hii muvi inasumbia akili yangu kuhusu hii couple
Nimeona hata Mange ameiweka, sijui Diamond anajisikiaje?Mkuu tunaongea kile macho yetu yameona,
Mnapata tabu sana kufuatilia watoto wa wenzenu.View attachment 474822
Mimi binafsi nimekosa cha kuongea kama diamond anaamini huyu Mtoto ni wa kwake basi hili limbwata sio La nchi hii, Ila huyu Ivan ana damu kali sana
Team Madale presha inapanda presha inashuka.
Mpelekeni mtoto kwa baba ake
usinyamaze mkuu busara yako inaitajika kwenye maswala kama hayaHapa aiseeh ngoja ninyamaze tu