Picha: Utata wa sura ya Mtoto wa Diamond

Ukiangalia mdomo vizuri na macho ya mtoto ni wa diamond ukiangalia kishabiki kwa kuona unene wa mashavu ya mtoto mchanga na hayo ya bia kwa nyama choma ya mshikaji unaweza ukaamini niwa jamaa .
Aliyepost yule mtoto na picha yake pembeni ni Ivan, kwa maana alipita huko siku za karibuni vinginevyo huo ujasiri asingekuwa nao.
 
Back
Top Bottom