LuisMkinga
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 3,184
- 6,120
Pata cold drink kwa point mkuu ulizoshushaSiyo mke tu mkuu,kama mama alitimiza majukumu yake kwa mwanae accordingly hakuna mtu yeyote atakayekuwa bora kwa mtoto huyo kuliko mama,kama wewe ni mwanaume halafu unatuambia eti mke wako ni bora kulikp mamaako inawezekana mama hakutimiza wajibu wake kwako,au inawezekana umeamua kutoka kinafiki,vinginevyo unahitaji kuchekiwa akili,hata mkeo au mumeo akikwambia wewe ni bora kuliko mamaake kuna uwezekano mkubwa kwamba anakuongopea,ni kweli mke ana nafasi yake na tunawapenda sana wake zetu but to be frank NOTHING COMPARES TO MAMA.