PICHA: Mzazi anaomba msaada kwa kupotelewa na huyu mtoto wake.Tafadhari tumsaidie ndugu zangu

Wazazi tafadhar zingatieni huu utabiri wa hali ya hewa hasa mikoa ya pwani"mvua zitanyesha chini,na mafuriko yatakuja juu"kwa utabiri huu mwanenu yupo ila atarud utabiri huu ukitimia.mamlaka ya hali ya hewa inawajurisha na kuwafahamisha kuwa "hv punde mtampokea mjukuu.naomba pigen makofi na vigeregere.
 
Back
Top Bottom