PICHA: Mzazi anaomba msaada kwa kupotelewa na huyu mtoto wake.Tafadhari tumsaidie ndugu zangu

Wazazi waeleze kwanza maana ya 'mazingira ya kutatanisha' ili tujue pa kuanzia. Lakini, Mungu atajaalia na mtoto wao atapatikana
 
Samahani hivi huyu mtoto ana matatizo ya akili?

Au ana ulemavu wa aina yoyote ile i.e kutokusikia vizuri , kutokuweza kuongea n.k

Kama ana hayo matatizo basi atakuwa amepotea kweli ila kama ni mkamilifu wa viungo hadi wakati anatoweka nyumbani basi kuna sehemu amejifungia na msela sasa hivi wanatengeneza joto na kuunganisha viungo vyao vya uzazi bila baraka za Mungu na wazazi wao.

Ila kwa zama hzi za watu kutekwa hovyo huenda naye kuna masahibu yamemkuta tutajitahidi kuangalia huku kwenye maeneo yetu tukibahatika kumuona tutatoa taarifa mahali stahiki.
 
pole kwa wazazi,
Lakini watoto wa siku hizi sijui wavulana wanawapaga nini. anaweza akaacha hata kwenda shule ila akawa kwa kibwana chake.
 
Uzi umevamiwa na wavulana, ila kama yote mnayoyasema yana ukweli, basi kifungo cha maisha kitampata muhusika
 
We ulimwona huyu hayu ambae nilikuwa nae ukachanganya rangi ya nguo
IMG_5283_1024x1024.JPG
Asa na hizi Mvua eti uambiwe na huyo Bi. Mdashi kapotea....!
 
Watot malaya wengi huwa hivyo
Mkuu una mtoto!?!maumbile ya mtu na tabia wapi na wapi!hebu jiweke kwenye viatu vya huyo mzazi anayemtafuta mwanae!daaah comment za humu kama za walevi wa mataputapu aiseee
 
Mkuu una mtoto!?!maumbile ya mtu na tabia wapi na wapi!hebu jiweke kwenye viatu vya huyo mzazi anayemtafuta mwanae!daaah comment za humu kama za walevi wa mataputapu aiseee

Huyo ndio yule shetani anayezungumziwa kwenye vitabu vya dini mkuu achana naye hata kizazi ama mbegu hana kwa comment hiyo.
 
Daah na feel maumivu ya wazazi wake, inauma sana hasa pale giza linapoingia hujui mwanao kalala wapi, amekula nini, yaani inauma sana,

Hujui kama yupo hai au wamemtoa roho,

Jamani kupotelewa na mtu pasikieni hivyo hivyo,

Enyi wana JF mnaofanya mzaha kumbukeni yanaweza kuwakuta.
 
Back
Top Bottom