Picha: Juma Jux ameiaga rasmi kampeni ya kataa ndoa. Afunga ndoa na mchumba wake Priscilla

Huu mwaka kataa ndoa wameuanza vibaya, ni ndoa kila kona.

Kheri tele katika ndoa yao, MaashAllah!
Hapana kataa ndoa tuko vizuri, Soma list hii.

.guardiola katalakiana na mkewe.
. Roberto Carlos yuko mahakamani kuachana na mkewe.

. Jessica alba na mumewe cash Warren wame peana talaka.
. Mcheza mieleka Charlotte flair kaachana na Andrade 😂 Hannah

List ni kubwa mno, KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO.
 
Kabisa ni swala la mda tu
 
Nasikia huyo Linda Ikeji ndo kama Millard Ayo wa huko kwa wapopo

Ni kweli mkuu?
Ndiyo, alikuwaga feminist akiwaasa wanawake wasikubali kuzaa nje ya ndoa, wasikubali kuwa ma single mother, ikiwezekana hakuna kufanya ngono mpaka ndoa cha ajabu yeye ndo wa kwanza kukisaliti chama na sasa hivi ni single mother pro max 😄
 
Back
Top Bottom