Picha: Bashe, Nape na Zito; hawa ndio mashine ndani ya bunge kwa sasa

Bashe ni mwakilishi wa maslahi ya Rostam Aziz na Edward Lowassa bungeni.
Nape ni mwakilishi wa Bernard Membe bungeni.
Zitto Kabwe ni mwakilishi wa makampuni yote ya kifisadi bungeni.
Huwezi kuita hawa vijana kuwa ni mashine bungeni hawa wako bungeni kujaribu kum frustruate Dereva wetu lakini nafikiria wakati wa kukarabati lorry letu mwaka 2020 itabidi wabaki ili dereva aendeshe lorry vizuri kulekea safari yetu ya 2025.
Nyerere was scared of " boyz to men" lowassa,kikwete,kinana and .... but after mkapa " boyz to men wakashika dola.....its a matter of time soo keep dreaming " magufuli mwepesi sana especially now" bye bye ccm for shizzle
 
Back
Top Bottom