Na wewe ni muwakilishi wa na nani?Bashe ni mwakilishi wa maslahi ya Rostam Aziz na Edward Lowassa bungeni.
Nape ni mwakilishi wa Bernard Membe bungeni.
Zitto Kabwe ni mwakilishi wa makampuni yote ya kifisadi bungeni.
Huwezi kuita hawa vijana kuwa ni mashine bungeni hawa wako bungeni kujaribu kum frustruate Dereva wetu lakini nafikiria wakati wa kukarabati lorry letu mwaka 2020 itabidi wabaki ili dereva aendeshe lorry vizuri kulekea safari yetu ya 2025.
Itakuwa kama ile G55 iliyomsumbua sana kiongozi fulani wakati uleSiasa si Uadui. The Back Bench Team is Growing.
Mungu azidi kuwabariki hao wabunge wanaosimamia maslahi ya wananchi.Muda si mrefu hata ridhiwani ataungana nao maana ni bora kushirikiana na tundu Lissu kuliko mkoromije bashite
Ninaona Aibu badala yako. Maana mnaonyesha ni kwa kiwango gani mnapenda mambo ya KIMBEA.Mungu azidi kuwabariki hao wabunge wanaosimamia maslahi ya wananchi.
Ridhwani pia yumo katika orodha ya wabunge wenye msimamo.
Mimi pia naona aibu kuwa kuwa watu wanafiki kama wewe Tanzania.Ninaona Aibu badala yako. Maana mnaonyesha ni kwa kiwango gani mnapenda mambo ya KIMBEA.
hivi dogo John Mnyika vipi siku hizi wajameni?
Hawa ndio wabunge mashine kwa sasa....
Hapa wamekosekana. Tundu Lisu, Kangi Lugora, Upendo Peneza, Dr. Dalali Kafumu!...
Naona bado hajapona fresh. Aliugua ugonjwa wa akili for almost 2 years!hivi dogo John Mnyika vipi siku hizi wajameni?
Bonge la ukweli !!!!!! halafu hawa wote wana mahusiano sana na ,,,,,gwajima,,, wema,,,,,,, mange,,,kubenea ,,,,,,,,musukuma,,,,,????Bashe ni mwakilishi wa maslahi ya Rostam Aziz na Edward Lowassa bungeni.
Nape ni mwakilishi wa Bernard Membe bungeni.
Zitto Kabwe ni mwakilishi wa makampuni yote ya kifisadi bungeni.
Huwezi kuita hawa vijana kuwa ni mashine bungeni hawa wako bungeni kujaribu kum frustruate Dereva wetu lakini nafikiria wakati wa kukarabati lorry letu mwaka 2020 itabidi wabaki ili dereva aendeshe lorry vizuri kulekea safari yetu ya 2025.
Nawewe nawe, sasa kuna masilahi gani ya Lowasha huko bungeni? au au masilahi gani ya Maembe? wacha wazee wa watu wale ugali wao nyumbani, mliona hawafai sasa mbona mwaogopa vivuli vyao? Kukohoa ukohoe mwenyewe kisha unakimbia na kuuliza nani huyo.Bashe ni mwakilishi wa maslahi ya Rostam Aziz na Edward Lowassa bungeni.
Nape ni mwakilishi wa Bernard Membe bungeni.
Zitto Kabwe ni mwakilishi wa makampuni yote ya kifisadi bungeni.
Huwezi kuita hawa vijana kuwa ni mashine bungeni hawa wako bungeni kujaribu kum frustruate Dereva wetu lakini nafikiria wakati wa kukarabati lorry letu mwaka 2020 itabidi wabaki ili dereva aendeshe lorry vizuri kulekea safari yetu ya 2025.
umetumwa na mwanaume suruali nini?Naona bado hajapona fresh. Aliugua ugonjwa wa akili for almost 2 years!
Precisely.Bashe ni mwakilishi wa maslahi ya Rostam Aziz na Edward Lowassa bungeni.
Nape ni mwakilishi wa Bernard Membe bungeni.
Zitto Kabwe ni mwakilishi wa makampuni yote ya kifisadi bungeni.
Huwezi kuita hawa vijana kuwa ni mashine bungeni hawa wako bungeni kujaribu kum frustruate Dereva wetu lakini nafikiria wakati wa kukarabati lorry letu mwaka 2020 itabidi wabaki ili dereva aendeshe lorry vizuri kulekea safari yetu ya 2025.
Mungu azidi kuwabariki hao wabunge wanaosimamia maslahi ya wananchi.
Ridhwani pia yumo katika orodha ya wabunge wenye msimamo.
Kolomije classified infoWashajjadili njisi ya kubolesha maisha yetu... ndio wajinga na majungu ever
Povu.Una bwabwaja upumbaf tu.Na wewe ni lazima ni Bashite tuMaslahi ya wananchi au maslahi ya matumbo yao?? Wote waganga njaa tu., Ngosha akitaka kuwaweza ni kuwakalia kimya wabwabwaje mwisho wataonekana mazuzu tu. Eti Bashe!! My foot! Huyu mwepesi sana. Amuulize Jenerali Ulimwengu kipindi cha Mkapa alipatwa na nini.?
Ulimwengu hana damu ya zampuli za bashe ......tofautisha mimba na kitambi....Maslahi ya wananchi au maslahi ya matumbo yao?? Wote waganga njaa tu., Ngosha akitaka kuwaweza ni kuwakalia kimya wabwabwaje mwisho wataonekana mazuzu tu. Eti Bashe!! My foot! Huyu mwepesi sana. Amuulize Jenerali Ulimwengu kipindi cha Mkapa alipatwa na nini.?
Uvccm huwa na wapenda sana mkitokwa na fahamu kuleta bullshit excuses u guyz mnajitahidi kupita mbali na ukweli " magufuli na ccm are done" pumzi zimekata mmebaki defensive "we r coming kila upande" stop us making sense or die unwillinglyWote hao wana stress: Nape ana stress ya kupoteza influence (sauti) kwenye chama na mbaya zaidi kupoteza uwaziri,
Bashe ana kinyongo cha kukosa uwaziri, na Zitto ana stress za kuona nyota yake haing'ai kwenye chama chake kipya alichokianzisha kwa mategemeo kuwa wana CCM kibao wangehamia huko na kuchukua nchi!
So kila wananchofanya wenzao, kwao hugeuka mwiba. Na sasa wamejitoa ufahamu kushambulia hata yale ambayo walipaswa wayashauri au kuyaunga mkono... They are nothing less but the wounded apples!