Peter Msechu acha comedy kwenye afya yako, utakufa premature utuachie mkeo, watoto wako watateseka

Watu wanene ninaowajua Walibarikiwa kuwa na Akili Kubwa ( Intelligent ) kwa Mimi najua alikuwa ni Hayati Mkapa tu pekee, ila kwa Wengine huwa ni 95% Fools. Hata Mwalimu wangu Mmoja wa Saikolojia aliwahi kuniambia huwezi Mnene sana halafu ukawa na Akili Kubwa na ikitokea ukamkuta Mtu wa aina hiyo basi jua kapata tu bahati kutoka kwa Mungu.
Inteligence ya mtu mnene unaipimaje? Na hawa vilaza wembamba nao shida yao ni nini?
 
Back
Top Bottom