Peter Msechu acha comedy kwenye afya yako, utakufa premature utuachie mkeo, watoto wako watateseka

Kuna platform za hicho unachotaka, nenda huko, labda N. Korea ndo wako serious kama hivyo.

Kina Melo walioanzisha jf hawakubase kuwaongelea wasanii coz maybe sio mambo zao..
Ila wanaelewa kuna watu wanapenda hilo wameweka forum ya celebrities.

Cha ajabu sasa ni wewe umeingia forum ya celebrities ukakuta celebrit anajadiliwa unasema Tz hatupo serious, uko sawa kweli??

Ni sawa na uende kwa mkapa stadium siku ya simba na yanga, then ukasema lile nyomi + viongozi hawako serious kufocus na mpira wakati kuna ishu kibao za kudiscus wakati ile ni ishu ya 90 minutes then mamb mengine yanaendelea.
Hana exposure huyo msamehe bure,aende uingereza hapo aone gazeti ls the Sun linsvyojadili maisha ya mastar,au nyomi la viwanjani EPL hata kwa timu ndogo,atasema waingereza ni poor minded
 
Vingereza vingi na udwanzi
Ukishaona comment za vingereza vingereza na viquotation jua unadili na sufuria bovu.
 
Mkuu yani kwakweli nimeshindwa kabisa kumuelewa.

Anataka wote tuwe kina Elon Musk, sijui kina joti, mkojani wangekula wapi 😂😂, full ukauzu dadeki
 
Tatizo akili zenu zinafanana

Hata hospitalini chizi ujiona mzima, na yule psychiatric doctor ndio mgonjwa.

Ni jambo la kawaida kabisa kuona chizi mmoja akimsapoti chizi mwenzake, kwenye jambo la uchizi.

Endeleeni kuchizika na tumbo la mtu.
 
Mkuu yani kwakweli nimeshindwa kabisa kumuelewa.

Anataka wote tuwe kina Elon Musk, sijui kina joti, mkojani wangekula wapi 😂😂, full ukauzu dadeki
Hauwezi kunielewa kwa asili ya akili yako jinsi ilivyo. Toka lini akili ndogo ikabishana na akili kubwa zaidi zaidi ni Chaos tu.

Naona umewataja role models zako wakina joti na mkojani, icho ni kiashiria tosha cha level ndogo ya akili yako.
 
Hana exposure huyo msamehe bure,aende uingereza hapo aone gazeti ls the Sun linsvyojadili maisha ya mastar,au nyomi la viwanjani EPL hata kwa timu ndogo,atasema waingereza ni poor minded
Issue sio exposure, issue ni je unaiga jambo gani?

Haya wazungu wameanzisha mapenzi ya jinsia moja katika nchi zao na wewe huku utatuletea mapenzi ya upinde, kwa sababu ya exposure ya kukaa ughaibuni.

Unatakiwa kuiga mambo chanya yale hasi unayapotezea.

Ndio maana umepewa akili, tumia basi, in a positive way na sio in negative way.
 
We serious man umegundua nini duniani so far
 
Hauwezi kunielewa kwa asili ya akili yako jinsi ilivyo. Toka lini akili ndogo ikabishana na akili kubwa zaidi zaidi ni Chaos tu.

Naona umewataja role models zako wakina joti na mkojani, icho ni kiashiria tosha cha level ndogo ya akili yako.
Acha ego za kishamba, maisha ni simple sana ndgu.
Elon Musk hujaona nimemtaja mara nyingi hapo, why usiseme huyo ndo role model wangu?

Hata hivyo Joti na Mkojani wana tatizo gani kua role models??

Kusema umeacha kujibizana na still unaniquote, kunazidi kuonesha walakini kwenye ufikiri wako mkuu.
 
Back
Top Bottom