Pep Guardiola kathibitisha ubora wake

mkuu nitake radhi jins ninavyokufagilia wewe sio wa kuongea maneno hayo Ningekuwa MOD ningekupa ban 7bu ww ni kioo cha jamii alaf unaongea vitu visivyotakiwa

Soma vizuri historia ya Barca akikutana na timu za spain kwenye Champions league
kashinda mechi moja tu kati ya sita
 
Soma vizuri historia ya Barca akikutana na timu za spain kwenye Champions league
kashinda mechi moja tu kati ya sita
sasa mkuu ukiniambia rekod ya barca uefa ni mechi 1 kat ya 6 nakuwa cjakupata vzur sababu mechi yetu ya mwisho kati ya R.MADRID vs BARCA ilikuwa kipind cha mou na madrid alichezea home and away AU NDIYO HIYO MOJA PEKEE
 
sasa mkuu ukiniambia rekod ya barca uefa ni mechi 1 kat ya 6 nakuwa cjakupata vzur sababu mechi yetu ya mwisho kati ya R.MADRID vs BARCA ilikuwa kipind cha mou na madrid alichezea home and away AU NDIYO HIYO MOJA PEKEE

Kwani Madrid na Atletico walipokutana fainali
Atletico walimtoa nani nusu fainali?
 
Kwani Madrid na Atletico walipokutana fainali
Atletico walimtoa nani nusu fainali?
kwanza ASANTE kwa kuruka mada ila pia atletico nusu walicheza na Chelsea
Kwani Madrid na Atletico walipokutana fainali
Atletico walimtoa nani nusu fainali?
kwanza ASANTE kwa kuruka mada ila pia atletico nusu alicheza na Chelsea
 
Samahani mkuu hyo link kwangu inanisumbua kufunguka labda ungenielezea kiufup kilichomo ili nipate mwangaza na hiki tunachokizungumza

season ya 2013/14 Barca walitolewa na Atletico robo fainali
 
season ya 2013/14 Barca walitolewa na Atletico robo fainali
1458329122057.jpg
mechi 6 za mwisho kati ya ATLETICO na BARCELONA
 
dah mbona Pep pale Bayern jana hakua na Messi na alitisha mno?
achiliambali kushnda vikombe tele huko Ujerumani?
Nadhani hujaelewa, ama hujaelewa vya kutosha. Ngoja nkujaze maarifa kidogo kuhusu mrembo pep guardiola, anayependa copy and paste vya wanaume wenzake.

Pep kabeba makombe mengi Barca sababu alikuwa na Messi, na kumbuka kipindi kile hii style ya Barca tiki taka ilikuwa ikisumbua sana timu pinzani.

Mashabiki wa Barca tulimuona Pep ni mwehu pale timu inaposa plan b baada ya kubanwa. Timu pinzani zikipata chance ya kuongoza ushindi basi wanazuia mwanzo mwisho. Barca hii ya sasa umewahi kuona inawekewa makontena?

Pep alikuwa na Henry, tukampaga Ibra ijapokuwa eto'o hakustahili kuondoka. Alikuwa na Villa pia, hawa wote wanaweza wakafunga hata nje ya Box endapo mkawekewa kontena, hawa wote pia counter attack walikuwa wanaziweza, Pep alijali hilo? Matokeo yake akaanza kuwapa namba akina Tello, Cuenca n.k hata leo hii Pep angekuwa Barca usingemuona Neymar akiacheza mwanzo mwisho, angetokea bench kumpokea Pedro. Usingemuona Suarez pale.

Kuhusu kubeba makombe Bayern hata wewe unaweza, Bayern = PSG. Ligi haina ushindani, utashindwa kubeba makombe? Jiulize kwanini haendi kufundisha timu ambazo zinahitaji kusukwa upya? Kuna Man U, Chelsea n.k zote hizi alizitolea nje.

Bayern kabeba makombe sababu nyingine ni kwamba timu kaikuta na ilikuwa inabeba makombe hivyo hivyo. We ngoja uone atakavyohenya huko EPL.
 
Makosa ya Juve pamoja na subs mbovu ndiyo yameicost Juve otherwise Bayern ilikua imetoka. Kumbuka akiwa Barca alikua na uhakika wa ushindi hata kabla ya half time sio hadi dakika za mejeruhi.

Bayern kushinda bundes liga ni kawaida, bundes liga ni pretty much one team league. Bayern inapimwa UCL kitu ambacho kashindwa kudeliver hadi sasa na hatoweza. Una habari inner circle ya Bayern hawamkubali Pep
Hakika Mkuu wewe unafatilia soka, Board haimtaki jamaa. Na ni kumlindia heshima tu ndo maana walimuacha msimu huu aendelee na Bayern, ila kile kipigo walichopewa na Madrid ilibidi jamaa atimuliwe msimu ule ule.

Ni wazembe wa kufikiri ndo wataamini kwamba Pep ameondoka kwa ridhaa yake pale Bayern, kuna timu viongozi wao wana hekima sana, kama Barca, Bayern n.k sio lazima waseme wamekutimua, wanataka mwenyewe uende kwa ridhaa yako. Hii ilitokeaga kwa Barca ikiwa chini ya Gerardo Martino 'Tata' pale Barcelona.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom