Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,145
- 3,345
Mi nadhani hivyo kama wakikutana round inayofuata, kwa mchezo niliouona jana kwa timu zote mbili, Barca atapigwa home and awayUnadhani hii Bayern inaweza ifunga Barca?
Mi nadhani hivyo kama wakikutana round inayofuata, kwa mchezo niliouona jana kwa timu zote mbili, Barca atapigwa home and awayUnadhani hii Bayern inaweza ifunga Barca?
Juve kachapwa 6-4, goli 4 zinaonyesha how vulnerable Bayern is. Msimu huu Bayern inacheza chini ya kiwango, unakumbuka mwaka Jana alitangaza ubingwa wa ligi lini na mwaka huu hadi sasa Bado hana uhakika. Sioni Bayern ikishinda kama ikikutana na BarcaBarca asha chapwa 4-0 na celta vigo season hii hii
na alisha chapwa na Sevilla kama sikosei
Bayern wazuri kuliko Arsenal....
hakuna linaloshindikana
ulitegemea Juve jumla angechapwa 6?
Bayern haiwezi chukua UCL.Walichokifanya bayern jana si chakawaida"
Ila Nitakubali ni the best akichukua UEFA
Mi nadhani hivyo kama wakikutana round inayofuata, kwa mchezo niliouona jana kwa timu zote mbili, Barca atapigwa home and away
Lest wait and we'll c "Bayern haiwezi chukua UCL.
TrueLest wait and we'll c "
Barca/Bayern
Come on now! German siku zote inafanya vizuri wc at least huwa inatokea semis kama haijachukua ndoo. Usidhani sababu ya Pep England ndiyo England itafanya vizuri WC kwa wachezaji wale akina Walcott, welubeki au Kane.Hahaha Pep wengi hawamkubali maana ile team yake ya Barca ilikua too much...navile aliwapiga man utd fainali zote mbili za uefa basi ndo hapo beef na kutokukubalika kukaanza...lakini jamaa ana effect kubwa sana..hata kabla hajafika man city watu washaanza kutetemeka..na ile effect yake akicoach team ya nchi flani lazima hiyo nchi ishinde world cup..England ashaanza kujiamini Russia 2018 sababu ya jamaa huyu...
Come on now! German siku zote inafanya vizuri wc at least huwa inatokea semis kama haijachukua ndoo. Usidhani sababu ya Pep England ndiyo England itafanya vizuri WC kwa wachezaji wale akina Walcott, welubeki au Kane.
Swali: Pep na Enrique nani bora?
nakusubiria ujenge hoja kama ulivyodaiNashika nafasi kesho asubh ntakuja kujenga hoja juu ya pep
Kwa Leo acha niangalie jinsi tunavyomtumbua jipu man u
OK Asante kwa kunikumbushanakusubiria ujenge hoja kama ulivyodai
Ndio ipo hivyo kwenye mpira, ili ushinde ni lazima mpinzani wako afanye makosa ndipo upate nafasi ya kushinda.Makosa ya Juve pamoja na subs mbovu ndiyo yameicost Juve otherwise Bayern ilikua imetoka. Kumbuka akiwa Barca alikua na uhakika wa ushindi hata kabla ya half time sio hadi dakika za mejeruhi.
Bayern kushinda bundes liga ni kawaida, bundes liga ni pretty much one team league. Bayern inapimwa UCL kitu ambacho kashindwa kudeliver hadi sasa na hatoweza. Una habari inner circle ya Bayern hawamkubali Pep
Ndio ipo hivyo kwenye mpira, ili ushinde ni lazima mpinzani wako afanye makosa ndipo upate nafasi ya kushinda.