mtu kachukua vikombe vyote hadi kakosa morale ya kufundisha basi ujue huyo si mtu wa kawaida, watu wengi waliongea mengi sana jana lakini mwisho wa siku walitulia kimya
watu waliongea mbovu sana, binafsi sikucheki game ila nilikuwa nafuatilia updates za fb, walipofungwa mbili watu wakaanza kusema bora aondoke waliposhinda wakasema hawatoweza kuwafunga barca, yaani watu hatuna jema kwakweli, all in all pep is the best na hii ndo inamfanya alipwe hela ndefuJana mashabiki wa Bayern walianza kumtukana
mwisho wakabaki hawaamini
niliona kuna watu wanaitabiria Juve ubingwa
kumbe dah Pep alikuwa na plan B ya ukweli
Maisha yanaenda kwa kasi sana aisee hadi kuona Liverpool na man u kujidai na kwenye lig ya UropaNashika nafasi kesho asubh ntakuja kujenga hoja juu ya pep
Kwa Leo acha niangalie jinsi tunavyomtumbua jipu man u
Pep ni wakawaida sana. Jana makosa ya Juve ndiyo yameicost Juve ushindi ila sio ubora wa Pep au Bayern.
Barca itabaka hii Bayern kama akikutana nayo. Asidhani barca italead 2-0 halafu zote zirudi bila wao kuongeza
Barca ya sasa hata kocha wa tukuyu stars anaweza icoach na ikashinda kila kitu sio sababu makocha Ni bora ila sababu mnyama messi yupo pale. Mtoe messi barca barca inabaki ya kawaida ila with messi Ni a different story
Kwa stats Enrique kafanya vizuri Barca hadi sasa kuliko Pep, je Enrique ni bora? Ila ni Enrique huyu huyu aliyefeli Roma na Celta. Pep pia hajafanya vizuri sana Bayern so utaona swala sio kwamba wao ni bora sana ila Messi ndiyo kawafanya wao wawe walipo sasa
Makosa ya Juve pamoja na subs mbovu ndiyo yameicost Juve otherwise Bayern ilikua imetoka. Kumbuka akiwa Barca alikua na uhakika wa ushindi hata kabla ya half time sio hadi dakika za mejeruhi.dah mbona Pep pale Bayern jana hakua na Messi na alitisha mno?
achiliambali kushnda vikombe tele huko Ujerumani?
Mim mwenyewe nilikuwa mmojawapo niliyeitabilia ubingwa Juve baada ya kuongoza goli 2 ila nilifungwa mdomo na kutokomea kusikojulikana
Makosa ya Juve pamoja na subs mbovu ndiyo yameicost Juve otherwise Bayern ilikua imetoka. Kumbuka akiwa Barca alikua na uhakika wa ushindi hata kabla ya half time sio hadi dakika za mejeruhi.
Bayern kushinda bundes liga ni kawaida, bundes liga ni pretty much one team league. Bayern inapimwa UCL kitu ambacho kashindwa kudeliver hadi sasa na hatoweza. Una habari inner circle ya Bayern hawamkubali Pep
Unadhani hii Bayern inaweza ifunga Barca?Juve ni moja ya team zenye discipline sana
na hawakufanya makosa sana katika kujilinda
kubali Pep aliwazidi mbinu....