Sijui nini kimetokea mimi ni mwanaume ila machozi yameishia kunitokausijali mkuu , wanasema ukiona giza totoro uje karibia kunakucha .
Ndugu hata jogoo alikuwa yai usione anawika hivyo dakika ikifika hakuna kisichotekelezekaDah sijategemea kama Tanzania siku moja tungefika huku
Mbona Mtwara vilienda wakati wa masuala ya gesi!Dah sijategemea kama Tanzania siku moja tungefika huku
Miaka yote hii licha misuko suko tuliyopitia Mungu alitupitisha salama ,Na imani tu na hili tutapita salama ,inaumiza sana kupeleka jeshi la wananchi wa Tanzania kupambana na raia wakeNdugu hata jogoo alikuwa yai usione anawika hivyo dakika ikifika hakuna kisichotekelezeka
Yote hayo matumizi yasiyo na maana ya kutumia Jeshi la wananchi wa Tanzania kupiga raia wake ,Jeshi la polisi limechafuliwa na wanasiasa sasa chuki hizo wanazipeleka JWTZ ,Mbona Mtwara vilienda wakati wa masuala ya gesi!
Kwahiyo haukuwa sahihi uliposema kuwa haukutegemea kuwa TZ tutafika huku, kwani tukio kama hili lilifanyika Mtwara!Yote hayo matumizi yasiyo na maana ya kutumia Jeshi la wananchi wa Tanzania kupiga raia wake ,Jeshi la polisi limechafuliwa na wanasiasa sasa chuki hizo wanazipeleka JWTZ ,
Serikali SIKIVU za AFRICA huwa hazina masikhara ktk kuleta machafukoDah sijategemea kama Tanzania siku moja tungefika huku
Sijakuelewa MkuuSerikali SIKIVU za AFRICA huwa hazina masikhara ktk kuleta machafuko
unazungumzia ccm gani?CCM Bila Dola,ni Wepesi kama Unyoya!
Kukaa mezani kila siku kisha kuwapa CUF umakamu? Kwa nini ccm wao wasipewe huo umakamu? Mungu hakuiumba Zanzibar ili iwe ya ccm pekeeMagufuli kazi anayo. Siasa za Zanzibar zina histoty ndefu, CCM ikubali kuachia nguvu fulani nayo ni kumpa Maalim umakamu wa Urais na CUF nayo ikubali kupokea nafasi hiyo. wakae meza ya mazungumzo ya muafaka kuokoa hali isije kuwa mbaya zaidi dalili za mvua ni mawingu. CUF ikumbuke wao wameshika makali ya kisu na CCM Imeshika mpini. wakivutana zaidi raia ndio watakao kuwa kafara wa hali yoyote itakayojitokeza.. haya ni maoni tu