kiwa khalid
JF-Expert Member
- Apr 14, 2015
- 636
- 534
Wakulaumiwa ni mwenye pikipiki ndoo anatakiwa awe na helmet. Kwani na sisi abilia tuwe tuzinunue! Tuwe tunatembea nazo?
wacha roho mbaya wee nyumbu. hapo makonda anaenda kutumbua jipu wee kwa chuki binafsi unaona tu hajavaa helmet.
Wewe ni mwanamke Wa wapi tena!? Maana nimesahau!Ukiwa chadema unakuwa kama wale wanawake wa magomeni
haya ww kubenea tumekusikia, nenda kaiandike kwnye gazeti lako la mwanahalisi si ndo zako. lkn kaa ukijua hilo gazeti lako huku kitaa hatulisomi tena ila 2nalitumia kufungia vitumbua na kababu
haya ww kubenea tumekusikia, nenda kaiandike kwnye gazeti lako la mwanahalisi si ndo zako. lkn kaa ukijua hilo gazeti lako huku kitaa hatulisomi tena ila 2nalitumia kufungia vitumbua na kababu
Hapo pasipo kuchunguza makosa mengine ya hicho chombo na dereva wake, tayari wana makosa mawili ya kutovaa helmet ambapo fine yake ni sh30,000@
Mgema akisifiwa...
Mkuu, ongea nafsi yako tu. Husomi Mwanahalisi wewe na nani? Sisi wengine tunasoma magazeti yote, hata Uhuru.
una mawazo mgando kama akili soma kilichoandikwa na wewe ulichokiandikachuki binafsi. Makonda yupo juu kamfunika hata boss wake mkuu wa mkoa wa DSM. HICHO UNACHOKIZUNGUMZIA ni immaterial hakimfanyi kukosa tick tick tick
ana sifa zote za kua kiongozi mzuri