Paulo Makonda akiwa kwenye pikipiki bila kuvaa helmet yeye na dereva wake

haya ww kubenea tumekusikia, nenda kaiandike kwnye gazeti lako la mwanahalisi si ndo zako. lkn kaa ukijua hilo gazeti lako huku kitaa hatulisomi tena ila 2nalitumia kufungia vitumbua na kababu
Ili ufungie vitumbua inabidi ulinunue,kwa nini usinunue Uhuru kusaidia chama chenu
That speaks volumes about you
 
Ni ngumu kusema chochote bila kujua mazingira halisi ya hiyo picha.
 
Nisahihi kwa makonda kupanda pikipiki bila kuvaa helmet kwa sababu anatafuta kuonekana!!! Hivi tujiulize angevaa helmet kichwa kimefunikwa nani angejua kuwa huyu alieko kwenye pikipiki ni DC makonda????? Inawezekana hata mada kama hii isingeletwa hapa kwani dereva wa pikipiki na pale alipoanzia safari tu wangejua kuwa DC amepanda pikipiki!!!
 
Hiyo ni Kick bhana hapo anabana matumizi ya mafuta kwa gari yake. duh! kazi ipo.
 
Mwacheni makonda,haingii akilini mkuu wa wilaya,mwanasheria apande pikipiki bila kofia.
Tokea amezushiwa kufunga viatu Riziwani,na mzee wa shanga akatoa picha,bavicha sio watu wa kuaminiwa
 
View attachment 323738

Huu uvunjaji wa sheria tunasubiri kuona Paulo Makonda alichukuliwa hatua.

Duh, huyu Kijana MAKONDA atapata taabu sana kwa kufuatiliwa na hasa baada ya nyota yake kung'ara kwa MAGUFULI...Hivi ni wangapi ambao hawavai helmet wakiwa kwenye pikipiki? Yaani kadri watu wanavyomchulia huyu MAKONDA ndivyo ninavyozidi kumpenda...Kwangu MAKONDA ni mchapakazi na anaweza kuthubutu. Sijawahi kumuona uso kwa uso but I just like this young man.
 
Na kweli mgema akisifiwa tembo hulijaza maji! Nadhani alikuwa anatafuta sifa nyingine na headlines! Ushauri wa bure - nena na tenda toka moyoni na kichwani si toka kichwani peke yake. Pamoja na hayo twapaswa kumpongeza Makonda kwa juhudi anazoonyesha, pamoja na makosa anayofanya. Bila shaka atajifunza kutokana na makosa.
 
Back
Top Bottom