Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Ipo siku mtanielewa vyema napomuona na kuwaambini kuwa Mwamba Mwenyewe Makonda kama kiongozi Mwenye uchungu na maisha ya watu wanaonewa na kunyanyaswa. Ipo siku mtafahamu kuwa Mwamba Makonda anapigwa vita na kushambuliwa na kuchafuliwa na watenda maovu ,wezi,matapeli,wauza madawa ya kulevya ,madhulumati na ambao matumbo yao yamejaza chakula cha dhuluma. Makonda amejitoa na kujitolea kuhatarisha maisha yake kwa ajili ya kusaidia na kuhakikisha watu wanapata haki zao.

Nitaendelea kumsemea na kutetea Mwamba Makonda hata nikiitwa chawa na kutukanwa matusi yote. Lazima mfahamu hatari kubwa iliyopo kwa mtu kupambana na wenye pesa au mamlaka au vyeo vikubwa wanaotumia nafasi zao kuonea watu na kuwakandamiza. Lakini Mwamba Makonda ameamua kutoa na kuhatarisha maisha yake kwa ajili ya kuwapambania wanyonge. Halafu anatokea mlevi mmoja na mabango yake kichwani anaropoka mitandaoni au hadharani eti kuwa ni maigizo.hii yote ni kutaka kumkatisha tamaa Mwamba Mwenyewe Makonda kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara.
Huyu makonda unaemsemea ni yule aliyepigwa ban kuingiza US kwa kudhulumu haki za watu kuishi au ni mwingine? Ni yule aliyevamia kituo cha tv kwa bunduki? Ni yule alituhumiwa na Lissu? Ni yule magufuli alikiri ana vyeti/ majina fake?
 
we
Listen great, Cursing without proof is crazy, when you have unquestionable proof, why do you end up cursing? In other words, you want accusations without evidence to convince you that they are true, which means we should take the place of God who sees everything? I don't do stupid jobs

Ni ju yako wewe kuamini mimi ni Makonda, hiyo hainipi shida chief
WE have evidence from the US and some internal sources have unquestionable evidence!
 
Huyu makonda unaemsemea ni yule aliyepigwa ban kuingiza US kwa kudhulumu haki za watu kuishi au ni mwingine? Ni yule aliyevamia kituo cha tv kwa bunduki? Ni yule alituhumiwa na Lissu? Ni yule magufuli alikiri ana vyeti/ majina fake?
Cc Nsanzagee read this please
 
Chawa ni wewe usiyeona uongozi uliotukuka wa Makonda.

Sasa hivi watu wanashinda wakimfuatilia Makonda mitandaoni kuliko wanavyofuatilia Bunge.

Chochote ntakachokueleza kumhusu, hauwezi kufurahishwa nacho kwa sababu una chuki naye.

Embu ingia you tube uone anavyotatua kero za watu wa Arusha na nmna watu wanavyomjadili mtandaoni, soma comments za watu halafu ulinganishe na unayouaongea wewe kama yana ukweli wowote.

Ama labda nikuulize, ulitaka afanyeje kazi ndiyo wewe ukubaliane naye?
Sikujua kama hauna akili kiasi hicho, pole, hoja yangu kule mwanzo nilisema hivi, alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, alifanya maigizo kama hayo, na nikatolea mifano kama ishu ya walimu kupanda daladala, ishu ya wamama waliotelekezewa watoto, hadi ishu ya madawa ya kulevya, ni ipi kati ya hizo ambayo iliacha alama lets say aliwafungulia labda wale akina mama waliotelekezewa watoto miradi fulani inayowaendeshea maisha hadi leo, au wale walimu alipendekeza itungwe hata sheria wawe wanapanda daladala bure hadi leo au ishu ya kuwataja wauza dawa za kulevya kwamba kuna watu kumi au ishirini walikamatwa, wakashtakiwa wakafungwa kwa juhudi zake, lakini hakuna hata kimoja kilichofanyika kiuendelevu zaidi ya kudhalilisha akinamama wa watu kwa lengo lake la kisiasa na kuwadhalilisha walimu pia na wanasiasa. Sana sana kwa kutafuta kiki alijifanya kuagiza fenicha kwa mgongo wa walimu kumbe alikuwa ana lengo la kupiga dili aje auze makontena kibao ya fenicha hizo, ila serikali tena chini ya Mwamba Magufuli ikamshtukia na ndiyo maana hata alipoenda kugombea ubunge akapigwa chini mazima.
 
Makonda,sisi wananchi wazalendo ambao ni 99% ya watanzania wote zaidi ya milioni 60 tunakuomba ugombee urais mwaka 2025 ili Nchi iwe na nidhamu na kupiga kasi kimaendeleo.maana wewe umeonesha Kila unapowekwa unafanya kazi vizuri.Achana na hawa punguani wanaokukosoa maana Hawazidi hata 1%.Makonda for president 2025
 
2025 kupitia Chama kipi ??!!
😱🙄

Ngoja Tusubiri tuone !

Makonda Bomayee !
 
Sikujua kama hauna akili kiasi hicho, pole, hoja yangu kule mwanzo nilisema hivi, alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, alifanya maigizo kama hayo, na nikatolea mifano kama ishu ya walimu kupanda daladala, ishu ya wamama waliotelekezewa watoto, hadi ishu ya madawa ya kulevya, ni ipi kati ya hizo ambayo iliacha alama lets say aliwafungulia labda wale akina mama waliotelekezewa watoto miradi fulani inayowaendeshea maisha hadi leo, au wale walimu alipendekeza itungwe hata sheria wawe wanapanda daladala bure hadi leo au ishu ya kuwataja wauza dawa za kulevya kwamba kuna watu kumi au ishirini walikamatwa, wakashtakiwa wakafungwa kwa juhudi zake, lakini hakuna hata kimoja kilichofanyika kiuendelevu zaidi ya kudhalilisha akinamama wa watu kwa lengo lake la kisiasa na kuwadhalilisha walimu pia na wanasiasa. Sana sana kwa kutafuta kiki alijifanya kuagiza fenicha kwa mgongo wa walimu kumbe alikuwa ana lengo la kupiga dili aje auze makontena kibao ya fenicha hizo, ila serikali tena chini ya Mwamba Magufuli ikamshtukia na ndiyo maana hata alipoenda kugombea ubunge akapigwa chini mazima.
Vyovyote uniite, huo ni mtazamo wako.

Waulize wakazi wa Dar kuhusu Makonda, watakueleza ni namna gani walivyonufaika na uongozi wake, ni kijana mbunifu wa mambo mengi.

Kuangalia dosari zake peke yake bila kuangalia mema aliyofanya kusaidia watu ni kipimo cha chuki uliyonayo dhidi yake.

Kuachwa kurudishwa kwenye uRC, ni kutokana na msimamo wa Magufuli wa 'cheo kimoja mtu mmoja' na wateule wote waliokaidi rai hiyo na kwenda kugombea Ubunge waliondolewa kwenye nyadhifa zao hilo linafahamika.

Kina mama wengi waliodhulumiwa nyumba na utapeli mwingine, aliwasaidia na mpaka leo wanamkumbuka kwa wema, walimu walipanda dala dala bure nk nk.

Nadhani tufunge ubishani, endelea na mtizamo wako kama hautaki kubadilisha mind set yako.

Rai yangu kwako ni kwamba usilibeze jambo lolote analolifanya Makonda kwa sasa la kusaidia watu, usiwepo mtu mmoja kuchongoroa domo nyuma ya keyboard kupingana na umma .

Embu pitia pitia yuo tube na mitandao mingine uone msimamo wa wadau kuhusu kiongozi huyo.
 
Unajichosha mkuu.ufipa hata mmoja hakuna ataepongeza, imekua kama kenge anapigwa mpaka anakufa hakubali. Tatizo hatusom visa vya zaman kujua uongoz ni kitu gani, hatima yake leo kiongoz aki deal na raia wake watu wanakimbilia mifumo mibovuuu,kelele nying,katiba mpya na makelele mengine, ukiwa kiongoz wa watu,muda mwingine mifumo inafanya muda mwingine inalega lega,bas tusingekua na haja ya viongoz kama mifumo ipo,amir l muumin Umar inn khatab( 3rd caliphate) who conquer mpaka spain yote huko alikua ana tabia usiku ukifika anavua mavaz yake anavaa kama maskin wengine tu,anachkua mlinzi wake anaingia mitaan kujua tu hali za raia wake.mind you huyu ni kiongoz mpaka dola ya rumi wanamjua, siku moja katika pita pita yake na mlinzi au kijakaz wake akiitwa Aslam walianza kupiga patroo mitaan na yeye Omar kama mfalme akawa anashkuru anasema asnate mungu watu wamelala hakuna mwenye tatizo, hajakata kona anana nyumba moja mwangaza wa taa unawaka sauti za watoto wanalia lia zinasikika,Akaenda wakagonga mlango,ulivofunguliwa akauliza mbona watoto wanalia na unapika,yule mama akasema kwenye jiko nimetenga sufuria nimeinjikamo mawe nawazuga zuga watoto mpaka wanachoka wanalala,sina cha kupika, laiti mfalme angejua shida za raia wake, basi Omar akarudi makao akabeba kiroba cha unga,na vitu vingine msaidiz wake anataka kumwambia boss leta nibebe Omar akakataa akabeba mwenyewe mpaka kwa yule mama,chakula kikapikwa watoto wakala wakawa wamefurahi sana.na Omar akamuhakikishia yule mama mahitaji yake atayatimiza ,mama akafurah sana na akasema laiti Omar angekua kama wewe unavyojali bas nchi ingekua mbali,Omar akamuuliza lakin Omar unamjua? Akasema hapana.bas wakawaacha watoto pale wamekula na kufurahi toka katika njaa ya siku 3 ,na mama yule akaambiwa kesho njoo geti jeupe,kufika anakuta aliyemletea vyakula ndio kumbe kiongozi mwenyewe. Nini moral of the story?
Ni kwamba ku interact na raia kiutawala ni aula na ni jambo murua ufipa wamekalia kelele tu
 
Soma sheria aliyozungumzia Makonda utaelewa vizuri, kwenye maelezo yake amesema lazima kuwepo na "checks".
Sasa checks za Mhimili wa Mahakama ndiyo Makonda? Mbona unajitoa ufahamu kwa kumshabikia huyu Zerobrain!!
 
The gentleman is very focused, determined, a hard worker, creative and for sure he is going to transform Arusha and make it great again 🐒

Eid Mubarak to you all, JF family 🌹
ameshahamia kwenye nyumba ya RC? ati focused maajab hayash dunan
 
aah !!!
sasa gubu na mishangao yako ya wengi pamoja na wewe, vinabaki maswala binafsi mioyoni mwenu tu, but kijana anafanya mambo bayana hadharini mchana kweupe, tena bila kificho 🐒
ameshahamia kwenye nyumba ya RC? ati focused maajab hayash dunan
 
Huyo mwananchi anayemfuata Makonda asiye na mamlaka yeyote iwe ardhi, ndoa, biashara anapoteza muda tu.

Nasikitika Watanzania bado wajinga sana
Hata wenye mamlaka wanaotakiwa kufanya hivo hawafanyi..cha muhimu wampata Bega la kuegema na kutoa la moyoni wakaskiizwa na nafsi ikafarijika hata km uteklezaji utachkua mhakato mrefu au isitekelezeke kabisa
 
Back
Top Bottom