Paul Makonda, nakutabiria Urais au Uwaziri Mkuu huko mbele ya safari

Mtu mvivu wa kufikiri na aliyekosa hekima ya maamuzi kama Makonda hawezi kuongoza taifa la wastaarabu.
 
Mkuu mimi sio ccm ...na nina swali...kwako. Unadhani Makonda hafai??
Lpi alokufurahsha makonda kupga wazee au kuburuzana mahakaman na viongoz wenzie.... Ealim wanamatatzo kibao anaamua kuwazalirisha kwa makonda hakili hyo
 
Back
Top Bottom