MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,500
yaani ... uwezowake wooote wa kufikiria ndo kafikiria sie walimu tupande bure afu watoto wetu wapande walipe nauli yani huu ndo uwezo wake wa kufikiria ulipofikia mwisho wake. afu na wewe ndorobo unakurupuka kumshadadia KONDA wako nakushauri mwambie aweke madaladala yake ndo tupande bure.wewe kama hutaki si ulipe kwani kakulazimisha??unadhani hilo la posho hakuliona,yeye hana mamlaka hayo ya kugawa posho na kama wewe mwalimu napata wasiwasi kwa kutolifahamu hili......yeye katafuta njia mbadala iliyo ndani ya uwezo wake....
ushauri mkuu: mwambie we tarishi wake aongee na aliyemtuza cheo kipya kwambaa... WALIMU WAONGEZEWE MISHAHARA MIPYA NA POSHO afu aone kazi tutakayo mfanyia.
sio unaongeaongea hapa kama umeinamishwa.