Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,945
- 67,564
Dhambi ilioje, kwa jina la shujaa wa Africa kutumika kwa walafi fulani. Poor ccm.Kwa hiyo jina la ULE MTAA ni jina la huyu Pure African Nationalist? Daaah. Tunapata dhambi sie.
Dhambi ilioje, kwa jina la shujaa wa Africa kutumika kwa walafi fulani. Poor ccm.Kwa hiyo jina la ULE MTAA ni jina la huyu Pure African Nationalist? Daaah. Tunapata dhambi sie.
Kuna chuo kikuu kimoja kilikuwa Moscow kilikuwa kinaitwa Patrice Lumumba university now kimebadirishwa jina wazungu walimuenz kihivyo
Ndiye alieongoza vuguvugu la uhuru wa Congo na alikua kiongozi wa kwanza aliechaguliwa kwa demokrasia nchini humo, pia ni mwanzilishi wa chama cha Mouvement National Congolais (NMC).
View attachment 363315
Mobutu alimuona huyu ni tishio kubwa kwake, maana unaambiwa alipokua rais alijaribu kujipotrait kama Lumumba lakin kiatu cha Patrice kilikua kikubwa sana kwake.Hakijabadilishwa jina Mkuu na mpaka leo bado kinaitwa hivyo hivyo. Marehemu aliacha legacy isiyo ya kawaida na ambayo unaweza kuitafuta kwa Viongozi wa sasa wa Waafrika na usiipate vile vile.
Tumekusikia .Proceed proceed kwenye mambo ya muhimu.Hapa Tanzania tunae John Magufuli, Zitto Kabwe,Jakaya Kikwete,January Makamba,Benard Membe,Nape Nnauye na Paul Makonda hawa mpaka wakija kufa ndio tutajua kwamba walikua ni Tunu kwa taifa kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
Mobutu alimuona huyu ni tishio kubwa kwake, maana unaambiwa alipokua rais alijaribu kujipotrait kama Lumumba lakin kiatu cha Patrice kilikua kikubwa sana kwake.
Nenda kwenye uzi wa Mobutu nimeweka habari zaidi za Lumumba, sikuweza kupembenua niandike wapi, I cried myself more when I watched a documentary on Uhuru wa Congo kwenye African Channel.Umesababisha nitokwe na " machozi " makubwa juu ya huu UZI wako kwa jambo kuu ambalo litabaki kuwa ni SIRI yangu kubwa na historia ya pekee katika maisha yangu. R.I.P Patrice Emelly Lumumba.