Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,405
Patrick≠PatricePatrick Lumumba
ThanksMkuu umenikumbusha Patrick Lumumba kilikuwa chuo maarufu miaka ile ya 60 hadi kuanguka kwa Soviet
Nakumbuka vijana wengi waliokuwa wanasoma USSR walikuwa wakisafiri na ndege kubwa sana ijulikanayo kwa jina la Toplov.kutokea Dar-es-salaam via Aden Yemen hadi Moscow.
Lakini ilikuwa vigumu kuwatambua majasusi wa Kitanzania waliopata recruitment na serikali ya Soviet.
Siku mmoja classmate wangu katika shule ya sekondari aliekuwa tena rafiki yangu alitoka Soviet masomoni tulikutana baa mmoja maarufu Dar
Lakini baada ya week mmoja aliuwawa na watu wasiojulikana waliokuwa na silaha za kisasa.Hawakuchukuwa kitu chochote,ila habari zisizo rasmi wanasema huyo classmate alikuwa KGB,lakini aliporudi Bongo akawageuka wakammaliza.
Masikia na wewe umesoma hapo, tutajie ma classmates wako tafadhariYeah nmesoma hapo mkuu
Akitutajia atakuwa ametuongezea sana maarifaMasikia na wewe umesoma hapo, tutajie ma classmates wako tafadhari
Kabisa mkuu.Akitutajia atakuwa ametuongezea sana maarifa
You're absolutely right...Ina maana chuo kiliitwa jina la huyu Lumumba aliyeuliwa na wabelgiji mwaka 1960 Kongo?
Patrice Lumumba aliuawa na Mobutu (CIA-backed Mobutu Thuggish Regime) baada ya kugundulika ya kuwa alikuwa anaomba msaada wa kijeshi kutoka USSR.how comes kikaitwa jina lake?
Thanks
Absolutely. It was one of the popular KGB training groundMkuu umenikumbusha Patrick Lumumba kilikuwa chuo maarufu
Asante CEO mzee wa CalculatorUzi mtamu sana huu mzee baba
Mbona mwendelezo hukuleta?Asante CEO mzee wa Calculator
Velamaaa ndio nani tena huyu kaka?Velamaaa