Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,227
- 8,002
Tatizo lafudhi yake haiko sawa ana kisimbi fulaniKweli bwana huyu jamaa anatosha kabisa ukizingatia pia anaimudu vyema lugha ya mabeberu
Naheshimu sana elimu ya prof.kabudi ila kusema ni polymanth kuna walakini
Hakuna kipya wala cha ajabu ulichoandika.Soma nilichokiandika usijibu tu kwa mihemko
Kweli bwana huyu jamaa anatosha kabisa ukizingatia pia anaimudu vyema lugha ya mabeberu
Ana mapungufu mengi huyo.rais mwenyewe anamjua vizuri hafai abakie na uandishi uchwara kwenye mablogu.
Hiyo post atapewa Zamaradi Kawawa
Yaani wewe ndio umeharibia Pascal Mayala,unajua fika Mheshimiwa hapangiwi kitu na yoyote unayoyafanya hapa huoni unambomoa Pascal badala ya kumjenga?Kwa kuwa Dkt. Hassan Abbas ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ni ambayo ni nafasi yenye majukumu mengi na mazito ya kiutawala huku akiendelea kuwa Msemaji Mkuu wa Serikali, ni rai yangu kuwa Rais amteue Msemaji Mkuu wa Serikali mpya ili Dkt. Abbas apate muda wa kutosha wa kujikita katika nafasi yake ya Ukatibu Mkuu kikamilifu.
Kwa sasa Mitandao ya kijamii ina nguvu na ushawishi mkubwa sana kijamii, kisiasa na kiuchumi kuliko magazeti magazeti, online newspaper, online TV, radio and television Television Stations.
Nguvu na ushawishi wa mitandao ya kijamii kama vile WhatsApp, Facebook, Twitter, na Instagram katika nyanja za siasa, uchumi na kijamii unazidi kuongezeka kwa kasi kubwa kila siku.
Mara kadhaa Serikali, taasisi za Serikali, vyama vya siasa, taasisi za kidini, asasi za kiraia n.k zimejitokeza kujibu tuhuma, hoja, masuala na maswali ambayo yameibuliwa na mitandao ya kijamii na hiki ni kielelezo tosha cha nguvu ya mitandao ya kijamii.
Pia, tasnia ya habari imechangamana sana na teknolojia ya habari na mchangamano huu umeleta changamoto kadhaa za kisheria na za kiteknolojia kwenye sekta ya habari, hivyo, Msemaji Mkuu wa Serikali ambaye pia kwa mujibu wa sheria ni Mkurugenzi wa Idara ya Huduma ya Habari na Mshauri Mkuu wa Serikali wa Masuala ya Habari na Mawasiliano ya Kimkakati na Uchapishaji wa Habari anapashwa kuwa na ABCs za sheria na teknolojia ya habari na mawasiliano.
Hivyo basi, moja wapo ya sifa kubwa na muhimu ambaye Rais na washauri wake wanapashwa kuzingatia katika uteuzi wa Msemaji Mkuu wa Serikali ni uelewa na uzoefu wa kutosha katika nyanja ya mitandao ya kijamii na uelewa wa kiasi fulani sheria na teknolojia ya habari na hata mawasiliano.
Hivyo basi, kwa maoni yangu ninaona Paschal Mayalla wa JamiiForums anafaa kuvaa viatu vya Dkt. Hassan Abbas kwa kuwa ana uzoefu wa kutosha kwenye tasnia ya habari na ana added advantages kadhaa ikiwemo ya kuwa mwanasheria na kuwa uelewa na uzoefu mkubwa wa mitandao ya kijamii na ana ABCs za teknolojia ya habari na ni multi-knowledge au polymanth kwa maana ya kwamba ana maarifa na uelewa wa kiasi fulani ambao sio wa formal training karibu kila taaluma au tasnia kama vile siasa, historia, sheria, theolojia, lugha, soshiolojia, falsafa na kadhalika.
Watu ambao ni Polymanth au multi-knowledge ni viumbe adimu sana hapa duniani na hususani Tanzania na kwenye baraza la mawaziri Polymanth au multi-knowledge ni yuko mmoja tu Prof. Kabudi pekee.
Hivyo, Mhe. Rais ninakushauli kutumia mamlaka yako chaini ya Kifungu cha 4 (1) cha Sheria ya Huduma ya Habari, 2016, kumteua Ndugu Paschal Mayala kuwa Msemaji Mkuu wa Serikali, Mkurugenzi wa Idara ya Huduma ya Habari na Mshauri Mkuu wa Serikali wa Maswala ya Habari na Mawasiliano ya Kimkakati na Uchapishaji wa Habari.
Naomba kuwasilisha.
utakuja niambiaShe is unfit for the post.
utakuja niambia