ommy15
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 674
- 1,018
Watajifunzaje wakat wako bize na fiesta,wasafi festival,TBC,,Koroshow,Ccm,Chadema huo muda wa kujifunza hawana. Na hata wakijifunza hawanapakutendea kumbuka kilichompata yule kamanda wa ugandaPolice wa bongo wanala kujifunza kutokana na kile kinachoendelea paris