NyamazaRais Samia ameonesha panic ya hali ya juu hivi karibuni. Je ni sababu zipi hasa zimeleta hii hali
1. Je ni ushindani ndani ya chama
2. Je ni mikutano ya wapinzani ambayo imeweka wazi mikataba ya siri hasa kwa nchi za kiarabu.
3. Je ni hali ya ruhswa kuzidi nchini
4. Je ni matatizo ya pesa kwa serikali
5. Je ni mikutano ya vijana Kenya na Uganda
Au ni hayo yote!