mkuu kwani una ugomvi nao? mbona uwataji wakongo?Nataka hawa watu wadeal na wachina na wahindi kwanza...
Aache kutetea ugali?sehem nyeti kama hii huwezi kukosekana!!
Utanzania wake wa kweli uko wapi?Tena Manji anaweza kuwa Mtanzania wa kweli kuliko wewe.
Kabisa> It seems serikali ya awamu ya nne ililala sanaIla Serikali ndio imesababisha huu ujinga wote, kama kungekuwa na sheria kali tokea mwanzo wasingejazana hivi hapa nchini. Bila vibali
Mkuu muda bado, ndani ya mwaka mmoja tutawafurusha wote,Jamani huu utaratibu unaenda vipi? Unaanzia Dar then unaenda mikoani au wanafanya kote kote mana tuna ham na huku kwetu utufikie huu utaratibu sisi wa mikoani.
ni kabila gani huyo?ni mbongo tena good citizen mpaka kapewa ufukwe wa coco beach ajenge kwa ili walalahoi wapate mahali pakupumzikia.
Tanzania ni multiculturalism na mambo ya ukabila yamepitwa na wakati sasa hivi.ni kabila gani huyo?
Na Je Waarabu, kuna makampuni yameajili waarabu kutoka Yemen na Oman ambao hata Kingereza hawajui acha mbali Kiswahili. Na wahindi wapi unazumgumzia?wachina wanagoma? fukuza kabisa. waambieni hii oparesheni ni kwa ajili ya wachina, wakenya na wahindi.
hahah km mhaya umenichekesha sana...duh km ndo hivyo basi kila mtu afukuzwe...Operation isitizame wachina na wahindi tu, kuna watu wanajiita waha(kigoma) na wahaya(bukoba) kumbe ni raia wa nchi jirani.
Nataka hawa watu wadeal na wachina na wahindi kwanza...