Operation .Hill 3234,1988, Soviet vs Mujahidiin

Sela Son ,

..soma hapa chini halafu fanyia marekebisho bandiko lako.

Sawa br..nmeona vitu vichache vilivyo tofauti eg idadi ya waliokufa, equipment.
But kwangu mujibu wa mawazo yako Kuna haja ya kuongeza ama kupunguza nn katiko bandiko hili
 
Kwa miaka mingi kutokana na utawala wa vyombo vya habari vya magharibi, kukua kwa teknolojia, na propaganda, wamagharibi wamekwa wakijinasibu kutokana na operation za KIJESHI zilizofanikiwa zaidi kwa mfano ile dhidi ya Osama, dhidi ya Iraq, na iledhidi ya Libya ya Gadafi. Na nyingine nyingi eg Israel dhidi ya maadui zake Kama Egypt, Syria na Iraq wakati na baada ya Vita baridi.
Lakini wameendelea kuandermine mchango wa operation za wa USSR wakati wa ww2 , Kama vile Operation Barbarossa. Vita baridi na baada ya Vita baridi Kama ile ya siku 5 dhidi ya Georgia ( ninakuletea)
Leo nakuletea operation ya wasovieti ama warusi iliofanikiwa zaidi katika Vita ya Afghanistan ya 1979-1988.Hii Ni ile iitwayo operation HILL 3234 Iliyohusisha makomando wa kisovieti wapatao 39 tu dhidi ya mujahidiin 250.
Hi ni operation iliokwa imelenga kukomboa eneo la Gardez kuelekea Khost karibu na mpaka Afghanistan na Pakistani.Eneo hili lilikwa lilikwa chini ya control ya mujahidiin kwa zaidi ya mwezi.
Cha kukumbuka tu hapa Ni kwamba mujahidiin niwasemao hapa Ni Hawa Leo waitwao magaidi wa TALEBAN ambao kiongozi wao alikwa Jalaludin Haqqani.Ambapo kwa kipindi hicho walikwa wakiitwa freedom fighters na USA.
Mara kadhaa kulifanyika MAZUNGUMZO Kati ya serikali ya Afghanistan backed by USSR na mujahidiin backed by USA pamoja na mskabila ya pale Kama Jadrani tribe.Ili mujahidiin waondoke kwa amani lakini ikashindikana. Baadae zikatumika propaganda kwa njia ya redio wananchi wakimbie nayo ikashindikana. Mbinu iliokwa imebaki Ni mmoja tu "0peration ya KIJESHI."
OPERATION YA KIJESHI YAPANGWA.
Kwanza kabisa warusi walifanya kitu kinaitwa "fake landing" ya makomando ambao kiuhalisia hawakuwa makomando bali midoli ya silaha na makomando I'll kuwapumbumbaza mujahidiin.
Kwa namna ile mujahidiin wakaanza kujipanga kushambulia makomando wa kirusi wakiwa na silaha nzito Kama RPG, na bunduki za rasharasha, na AK 47 ambayo Ni bunduki pendwa si TU kwa watalebani Bali kwa magaidi wote duniani si alshabab, Alqaedah, Wala isis.
Lengo la kufanya fake landing ilikwa kuwapumbumbaza mujahidiin ili wao wasoviet wafanye reconnaissance mission kuona namna mujahidiin wanavyojipanga.Hii ilifanyiks kwa kutumia ndege Kama Su 24, Su 25 na Ilyushin 20.Na Kisha kupeleka taarifa hizi za kiitelijensia makao makuu ya jeshi.
Zilipofika taarifa hizi ndipo attack na reconnaissance aircraft su 25, na su 24 zilipokuja kuwashambulia Hawa mujahidiin ili kuwapunguza nguvu.Ni wakati huu wa mashambulizi ambapo mujahidiin walikwa katika ratiba ya kushambulia fake commandos.Mashambulizi haya ya ndege yalifanyika kwa karibu masaa manne.
Januari 7, 1988 ndipo Sasa waliposhushwa makomando 39 kutoka transport aircraft Ilyushin 76.Tayari kwa operation iliobatizwa OPERATION 3234. Jina hili lilibatizwa kutokana na kilima walichoshuka Hawa makomando 39. Na Ni kutokana na kilima hiki kutokwa na jina hivyo wakakiita hill 3234.
Makomando waloshuka hapa walikwa wameiva kwa mafunzo thabiti yanayoendana na na Hali ya hewa na maxingira ya vijijini ya Afghanistan yaliokwa mawe na miamba mikubwa pamoj na mapango.
MUJAHIDIIN WAGUNDUA WAANZA MASHAMBULIZI.
Saa 9 alasiri mujahidiin wakaanza mashambulizi kuelekea makomando walipo walipo.lakini ambacho hawakukijua Ni kwamba walikwa wakijaribu kupigana na VIJANA 39 tu.
MAKOMANDO WA KIRUSI WAJIBU.
Wasoviet walikwa na kila aina ya silaha za kisasa Kama vile artillery mashines, tanks ( t 55) na zingine.Hapa ndipo artillery mashines zilipofanya kazi yake yaani kutenganisha vichwa na viwiliwili vya mujahidiin. Hi ilifanyika chini ya amri ya kiongozi wa mawasiliano leuten Victor Gagarin na Colonel Valery Vostrotin ambae alikwa kiongozi wa makomando 39.

MATOKEO YA OPERATION.
Wasoviet walishinda operation hii huku wakipoteza vijana wawili kwa majina Vyacheslav Alexandrovich na Melnikov Alexandrovich, ambao wote walipewa medali ya heshima ya red banner. Mujahidiin walishinda vibaya kwani katika watu 250 s hakuna aliyetoka mzima.
Operation hii iliongozwa na

1-Valery Vostrotin( Colonel)
2-Victor Gagarin

Upande wa mujahidiin iliongozwa na Jalaludin Haqqani ambae hakuwemo kwenye battle.

Na mwisho nakaribisha maoni, kukosolewa pamoja na mapendekezo..
By Baker selason.

Sent using Jamii Forums mobile app
Imekaa vizuri sana tungezee na madini mengine tupata chakula cha ubongo nimeipanda sana hiyo mkuu
 
warusi waliweza kuhakikisha serikali ya afaghnistan haipinduliwi na mjahidina,baada ya marekani na washirika wake saud,pakistan,israel etc kuona itakuwa ngumu,ndo wakaamua kuwapa mjahidina STINGER,lakini pamoja na hilo soviet walikuja kuondoka afaghnistan baada ya soviet kuanza kubomoka
 
warusi waliweza kuhakikisha serikali ya afaghnistan haipinduliwi na mjahidina,baada ya marekani na washirika wake saud,pakistan,israel etc kuona itakuwa ngumu,ndo wakaamua kuwapa mjahidina STINGER,lakini pamoja na hilo soviet walikuja kuondoka afaghnistan baada ya soviet kuanza kubomoka
Truee
 
Back
Top Bottom