Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,663
naungana na major kile kilikuwa si kiwanja cha wazi bali ni kwa ajili ya ujenzi ila vipi kuhusu sheria ya kuendeleza ndani ya miezi 36 inasemaje kwani kiwanja kama kile nadhani kilipimwa toka miaka ya sabini.
...huyo major anayesema kuwa kile kiwanja ni halali ...na wewe mtuambie mna uhakika gani????
kile kiwanja kimekuwa cha wazi ...miaka yote ..tangu mwishoni mwa miaka ya 60 ule mtaa nyumba zilikuwa zimeshaenea.....ile ni open space,,,,! lease za plot za mjini ni miaka 33.....nafahamu hilo...
infact watu wa jiji na ardhi must come out clean with this issue ...kuliko kuanza kuamini tu!!