sindano butu
JF-Expert Member
- Aug 20, 2012
- 518
- 181
Nilikuwa mteja mzuri wa parimatch lakini nimekuja kugundua ni matapeli. Unaweka hela inaingia vizuri tuh lakini ukija kutoa hela hawakuoneshi hela umetolea kupitia number gani halafu utakuja kuona hela haingihi then utawatafuta watakuambia tunafanyia kazi.
Mwishowe utakuja kuona ulitoa kupitia number wanaojua wao. SASA badala wabadirishe number ikae sawa utakuja kuona kumbe kuna number wameiset wao hela isiingie kwako.
Nilichogundua wanashirikiana na Tigopesa kufanya wizi au kufanya makusudi hela zichelewe kuingia.
So ndugu, marafiki na watahadharisha na Parimatch ni matapeli. Usijeweka hela ukabetia huko watakuja wakuibie tuh.