Onyo!! Usije weka hela parimatch ni matapeli

sindano butu

JF-Expert Member
Aug 20, 2012
518
181
Nilikuwa mteja mzuri wa parimatch lakini nimekuja kugundua ni matapeli. Unaweka hela inaingia vizuri tuh lakini ukija kutoa hela hawakuoneshi hela umetolea kupitia number gani halafu utakuja kuona hela haingihi then utawatafuta watakuambia tunafanyia kazi.

Mwishowe utakuja kuona ulitoa kupitia number wanaojua wao. SASA badala wabadirishe number ikae sawa utakuja kuona kumbe kuna number wameiset wao hela isiingie kwako.

Nilichogundua wanashirikiana na Tigopesa kufanya wizi au kufanya makusudi hela zichelewe kuingia.

So ndugu, marafiki na watahadharisha na Parimatch ni matapeli. Usijeweka hela ukabetia huko watakuja wakuibie tuh.
 
Parimatch ni majanga kama majanga mengine, kuna kipindi nilikuwa mteja wao, nikawala hela lilipokuja suala la kutoa hela ilikuwa utata, ilinichukua zaidi ya wiki kutoa hela isiyofika hata milioni moja.
Baada ya hapo niliachana nao milele, hiyo ilikuwa 2017 au 2018
 
Mkuu mbona mi nawala na na kutoa pesa kila muda nikitaka na kwenye parimatch kuna kuwaga mpaka na balance ya milioni na ipo tu labda bado hujaweka details zako za kutosha ndiyo maana ina zingua ku withdrawal.
 
Unachosema kwel mkuu mimi mwenyewe ilinisumbua siku ya kwanza kifanya kutoa pesa lakini baada ya kuiverfy akaunt yangu naweka pesa na kutoa vile nipendavyo
 
Nilikuwa mteja mzuri wa parimatch lakini nimekuja kugundua ni matapeli. Unaweka hela inaingia vizuri tuh lakini ukija kutoa hela hawakuoneshi hela umetolea kupitia number gani halafu utakuja kuona hela haingihi then utawatafuta watakuambia tunafanyia kazi.

Mwishowe utakuja kuona ulitoa kupitia number wanaojua wao. SASA badala wabadirishe number ikae sawa utakuja kuona kumbe kuna number wameiset wao hela isiingie kwako.

Nilichogundua wanashirikiana na Tigopesa kufanya wizi au kufanya makusudi hela zichelewe kuingia.

So ndugu, marafiki na watahadharisha na Parimatch ni matapeli. Usijeweka hela ukabetia huko watakuja wakuibie tuh.
Tunashukuru Kwa onyo
 
Unachosema kwel mkuu mimi mwenyewe ilinisumbua siku ya kwanza kifanya kutoa pesa lakini baada ya kuiverfy akaunt yangu naweka pesa na kutoa vile nipendavyo
Mleta madq itakuwa hajakamilisha details za akaunti,ikiwemo kuupload copy ya kitambulisho Cha nida,driving licence au Cha mpiga kura pamoja na email
 
  • Thanks
Reactions: 7ve
Tapeli zaidi ya pAri match dont even use that company . If you plan to bet . So far sporty bet has proved better in all aspect . Bet pawa next , primier , meridian n sport pesa in my list

What are those firms for??
 
Back
Top Bottom