Ongozeko la Wanawake Kuota Ndevu, Chanzo ni Nini??

Wanalilia haki sawa ndio matokeo yake, vidonge vya majira, hawataki mimba wanagonga p2 , hawataki hedhi wanajipiga madawa wasivae ped, vyakula vya viwandani, kuanza ngono chini ya umri , ndevu na kuzeeka mapema kamwe hawawezi kukwepa, kingine wamekua wabishi kwa waume zao.
 
Mleta mada hujawahi kufuga mbuzi?kuna mbuzi wa kike wana ndevu na wanazaa mapacha hao.
 
Ufeminism umezidi,
Wanawake kujifanyia vidume kuwatunishia misuli wanaume,kujifanya makambale.

Ni lazima TU nao waote ndevu mkuu
 
Back
Top Bottom