OG CCM 'B' on the clear way

Mbona Chadema zito akiulizwa akiwa katikati hali ya juu kisiasa, Nani alikuwa anajenga hoja kama zito, Hao waliofukuzwa CCM kwanza ni wafanyabiashara walikitumia chama kwa maslahi binafsi, Mchana upo negative sana kwa hilo jambo, mlitaka afukuzwe nani ? Chama kina taratibu zake ukivunja toka, kwanini uwakumbatie wenye mlengo wa kushoto wakati chama kina amini mlengo wa kuria
 
Mambo yanayotokea Dodoma kwenye vikao vya CCM yakiendelea hivyohivyo mpaka jumatatu tutegemee kuwa na CCM B
Uhai wa aidha CCM A ama B utategemea fukuza fukuza itaegemea upande gani....mambo yakifanyika rational kwa haki kabisa bila agenda yoyote ile ya ukabila ukanda dini mitazamo na nguvu ya ushawishi basi CCM A itabaki salama na hao wengine kukimbilia upinzani japo watapitia kipindi kigumu mno kutokana na mizengwe watakayofanyiwa! Ambao ni wafanyabiashara ndio wataumizwa hasa
Ila Kama itatumika bashite style ya kubebana na kulindana kulikopitiliza na ule UCHURO wa hawa ni wa 'KASKAZINI' tutarajie movement mpya itakayojumuisha na wale wote waliotumbuliwa kwenye taasisi mbalimbali
Kuna hatari kwenye hili kwakuwa CCM A inajishape kutimiza malengo ya mbali ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI, huku CCM B OG ikitaka kuwin majority na kulipa visasi... Hizi CCM zote mbili ni hatari sana kwa mustakabali wa Taifa hili
Tutarajie vifo vya ghafla watu kuwekwa kizuizini na wengine kupotea(zwa)katika mazingira ya kutatanisha
Kumbukeni pia kutakuwa na mamluki kila upande bila kusahau CCM B ya zamani ambayo nayo itakuwa na maslahi mapya kwenye hizi CCM zijazo
Ngoja nikawahi haramu mpya mie ndio mida yake hii......
acha watifuane labda tunaweza kupata wenye kili timamu- ni upuuzi,ujinga na kukosa maono kwa ccm ndo kumelibemenda taifa.
 
Wishful thinking mkuu. Kati ya waliofukuzwa hakuna mwenye uthubutu wa kujitokeza kwenye kamera na kuanzisha ccm b iwe rasmi au kificho. Wataufyata wote wether wameonewa au la. Mwenyekiti huyu sio mtu wa sport sport.
 
Ccm ilishatabiriwa mengi sana ila bado ipo!
Kuna mtu alikatwa kwenye harakati za kugombea Urais wakasema ataondoka na robo tatu ya wenyeviti wa mikoa wa CCM, Mawaziri 30, Wakuu wa Wilaya 100, Wenyeviti wa CCM wilaya 200, nk. Akaondoka na wenyeviti 2 na mwingine akakatwa mkia. Mawziri sikuona zaidi ya Mac Ongoro!
 
Mbona Chadema zito akiulizwa akiwa katikati hali ya juu kisiasa, Nani alikuwa anajenga hoja kama zito, Hao waliofukuzwa CCM kwanza ni wafanyabiashara walikitumia chama kwa maslahi binafsi, Mchana upo negative sana kwa hilo jambo, mlitaka afukuzwe nani ? Chama kina taratibu zake ukivunja toka, kwanini uwakumbatie wenye mlengo wa kushoto wakati chama kina amini mlengo wa kuria
Kweli kabisa hata mimi nisingevumilia ningetimua wote LAKINI kwa kufuata taratibu husika
Mimi sio negative ndio maana nikasema wakiwa rational..... Soma hapo
 
Mwenyekiti wenu. Lizaboni alisisitiza kuwa Bashe lazima angolewe! Unapingana na lizaboni?

Kwani Lizaboni kusema ndio tayari kang'olewa, mnajipigisha propaganda wenyewe halafu mnakuja kujichekesha wenyewe.
Kwa taarifa yako na kama hujajua trend ya ccm, ukishapigwa na Lizaboni + Tata madiba ujue madhara yatakupata na siku zako zinahesabika.
Fuatilia post za Lizaboni linganisha na matukio katika ccm tangu kukatwa kwa Lowassa hadi leo afu urudi na mrejesho.
Acha ubishi usio na tija. JF unayo lakini huitumii kukuza fikra na utashi wako.
 
Back
Top Bottom