Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,836
- 730,283
- Thread starter
- #141
mwengeso huoni wazi kuwa wamebadili gia angani kama umenisoma vema nilisema...... Itategemea...... Hebu karudie tena your sikutoa hukumu ya moja kwa mojamshana jr: kwa lugha ya sasa pendeka umekurupuka! Laiti ungesubiri Mkutano Mkuu maalumu wa CCM umalizike utoe tathmini yako.
Kama ulikuwa na agenda za huo mkutano, bado usingepaswa kutoa maoni yako, kwa kuwa wewe siyo mjumbe katu.
Hata kama ungekuwa na rasmu ya Katiba ya CCM iliyofanyiwa marekebisho, bado haikuwa sahihi kuifanyia uchambuzi kabla wahusika hawajaizungumzia.
Yaliyojiri kwenye mkutano huo, ni tofauti na matarajio yako hayo. CCM bado inadhihirisha ni chama imara cha kisiasa. Na kwa sasa kitaimarika zaidi baada ya nguvu kuwekwa kwenye mashina na matawi ya chama hicho.
Watu wanaihitaji CCM ili wapate umaarufu na siyo CCM kuwahitaji. Kwa sababu hiyo CCM kama chama kilichojiimalisha na kujiendesha kama taasisi, sitegemei viongozi wake kulipiza kisasi, kama dhana yako kwamba "Tutarajie vifo vya ghafla watu kuwekwa kizuizini na wengine kupotea(zwa)katika mazingira ya kutatanisha ..."
Ni ukweli usiopingika kwamba mkulu Bob asingefungwa speed governer ingekuwa muda huu tutaongea mengine
Kina Bashe wamejitokeza hadharani kukanusha lakini kuna mengi mno yametokea tangu jana mpaka Leo walipojitokeza kukanusha THEY HAVE BEEN REMOTED
nikwambie kitu rafiki time will tell.... Uongo hupanda lift lakini ukweli hukwea ngazi
Haya yaliyojiri yanadhibitiwa kwa nguvu kubwa yasitoke lakini yatatoka tu in less than a month