Ofisi ya Spika yakanusha uvumi juu ya afya ya Spika Job Ndugai

Ok, kama yupo India hosptl basi msibishe kuwa ni mgonjwa. Miezi kama miwili iliyopita tuliona akipokelewa DSM Airport akitokea huko huko India kwa matibabu. Je ni kwamba ndani ya miezi miwili hivi dawa sio.
 
Nakumbuka wakati Rais fulani yuko london kwa matibabu zilikuwa zinakuja habari kuwa mgonjwa anaumwa sana wanakanusha. At the end of the day ni hayo!
 
Sijaelewa walicho kanusha hapo ni nini! Wanaanza kwa kusema hali yake ni njema kabisa, kisha wanaeleza kwamba anafanya uchunguzi wa afya yake huko India kadiri ya maelekezo ya daktari wake, kisha wanamalizia kwa kututaka tumwombee ili afya yake iweze kuimarika mapema ili aweze kurejea nchini!!! Hiyo syllogism imekaaje?
Teeeeeeh teeeeeeeeeh, wamesahau usemi wa kubali ujinga siku ipite salama,maana ni vema wangenyamaza
 
Kwan hata habari kuitoa kwa umma ni shida??bandiko hata halieleweki,mara kaenda kucheck afya mara watanzania tumuombe afya yake iimarike sasa ndo nini???kweli ofisi ya bunge mnaandiko tangazo la hovyo hivi???kweli hii NONSENSE
 
Hakuna mtu anaekitaka yy alipiga wenzake hadi wakazimia Mungu akimuita aende tu salama maombi hayatosaidia
Ni heri aliye mpiga mtu mmoja tena mwanachama mwenzake kuliko huyu anaye wafanyima watanzania haki ya kuwakilishwa na wabunge wao kisa ubabe wake
 
Yaani ofisi ya bunge imejidhalilisha mkuu.Sasa ndo wamekanusha nini na kukubali nini?Hivi hakuna watu wa kuhariri habari kabla ya kuitoa kwenye vyombo vya habari?
Kuna wataalam wa kuhariri habari za kurushwa kwa wananchi kupitia TBC
 
The Major and the Minor Primises reflect the Conclusion
The Major Premise:Hali ya Mh.Spika ni nzuri,ameenda India kutazamwa afya yake kwa maelekezo ya Dr wake
The Minor Premise:Wenye nia njema tumuombee afya yake iwe sawa na arudi kuendelea na majukumu

Conlusion:Mh Spika afya yake si nzuri,yanayosemwa mtandaoni si "nia mbaya kwa spika" bali ni taarifa isiyo na chanzo "rasmi"...Chanzo kisicho rasmi hakiondoi ukweli wa story
Sima vizuri hilo tangazo halafu ndo uje na hzo editing zako mkuu,kwa yule ambaye huo uvumi hajauona kama mimi nakuelewaje hapo???
 
The Major and the Minor Primises reflect the Conclusion
The Major Premise:Hali ya Mh.Spika ni nzuri,ameenda India kutazamwa afya yake kwa maelekezo ya Dr wake
The Minor Premise:Wenye nia njema tumuombee afya yake iwe sawa na arudi kuendelea na majukumu

Conlusion:Mh Spika afya yake si nzuri,yanayosemwa mtandaoni si "nia mbaya kwa spika" bali ni taarifa isiyo na chanzo "rasmi"...Chanzo kisicho rasmi hakiondoi ukweli wa story
Nimependa premise zako! Nilisoma philosophy/psychology 1983/84! Nakumbuka bado. Basi na wanipeleke mahakamani nitawashinda kwa syllogism yenye premise hizo!
 
WhatsApp-Image-20160608.jpeg
 
Back
Top Bottom