House4Rent Nyumba na kiwanja vinauza kwa ajili ya mtu mwenye familia na anaehitaji eneo kubwa Njiro, Arusha

Iziwari

Member
Jun 5, 2021
90
72
Kama wewe ni dalali uliobobea unaruhusiwa kushiriki nasi. Hii inakuhusu. Nyumba na kiwanja kikubwa karibu na shule ya renea Njiro inauzwa.

Ina kiwanja kinachojitosheleza kuendelea kuijenga au hata kuweka nyumba za kupangisha. Kuna Maji, umeme wa sola, na Nyumba ina vyumba viwili na sebule kubwa.

Kwa atakae nunua anaweza kuhamia papo hapo. Na mwenye mpango wa kuinunua ili kuifanyia biashara. ipo eneo zuri karibu na chuo na shule. Eneo ambalo linahitaji nyumba nyingi za kupangisha.

Nyumba hii inauzwa kabisa Mil 40.

Karibu tufanye biashara.

Kama unataka kuja kupiga picha zaidi karibu.

Madalali kazi kwenu.

Piga 0756431032. nikuhudumie.


IMG_20220714_102637.jpg

IMG_20220714_102452.jpg
IMG_20220714_102535.jpg
 
Back
Top Bottom