T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,187
- 41,265
North Korea hii hii ambayo miaka ya 1990 ilipata njaa kubwa na serikali yao yenyewe ikasema watu 250,000 walikufa, tuachane na makadirio ya UN ambayo wanasema ni zaidi ya milioni. North Korea ambayo hupokea misaada ya chakula, ambayo ni cheap labour wa China na makampuni ya South Korea yaliyokuwa yamewekeza kwenye factory ya mpakani iliyofungwa miaka kama 7 iliyopita. Hata South wenyewe walikuwa wanafurahia kuwafanyisha kazi ndugu zao wa Kaskazini kwa robo ya ujira na bila mikataba.So mtu mmoja anarepresent Taifa? South wana matatizo yao kama North, matatizo yanayoletwa na Ubepari na Income inequalities, kuna Mafukara wa Kutupwa huko south kitu ambacho huwezi kukikuta North.
Kiongozi wao miaka michache kama mitatu nyuma hapo aliwaambia raia wale kidogo chakula hakitoshi. Mwaka jana au juzi alienda kuzindua kiwanda cha mbolea kwa mbwembwe nyingi na bashasha, kiwanda chenyewe walikijenga kwa kusuasua maana priority zao ni silaha. South Korea huwezi kuta Rais wao anazindua kiwanda cha mbolea kama mkombozi. Ni viwanda vya kitoto hata vikifunguliwa havitangazwi