Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,753
Kwa hiyo hizo picha ndiyo kudhihirisha maisha mazuri ya watu wa N.Korea.Hata Dar au Nairobi picha za usiku zinavutia sana tu1.wana magari ya Umma
2. Hawasimami foleni wala kusimama kwenye daladala
3. Huduma nyingi za kijamii bure, Elimu, Afya etc
Toka North Korea wawasamehe ambao walitoroka Nchi yao Maelfu wanarudi, kuna Video moja nikipata muda nitakuekea Jamaa Analia Katoroka North Kaja South Maisha magumu kila kitu alipie.
Na Pyongyang huwezi ifananisha na Mji wowote Afrika mashariki, Hawana Utajiri wa ulaya ila pia hawana Umasikini wa Africa.