Nitamsaidiaje Anna?

Tamaa mbaya sana,, kwanza alikubali kutembea na Mme wa mtu pia boss wake kisa pesa alizohongwa akadhan n bahat kumbe ....
 
Anna hakulazimishwa. Kagawa kwa hiari yake. Kachukua kisingizio cha hali mbaya ya maisha kugawa tundu la mavi...

Tundu ni lake na uamuzi ni wake... Kama anafikiri anaweza kuibeba dunia peke yake... aendelee kugawa tundu hilo... baadae bosi atataka tundu la pua... ampe tu maana kishaamua.... Hata akiamia masikioni ampe tu ili atimize ndoto yake...

Nimemaliza...
Plus mtuma mada kasema Anna alikuwa anataka kujaribu pia,hivyo hata bila ushawishi wa pesa angekubali.
 
Hapo kw kweli hatuna cha kumsaidida Anna kw maana ukisoma habari vizuri kuna mahali inasomeka "alitaka kujaribu hiyo kitu (kuingiliwa kinyume na maumbile)" kwa maana hyo anafanya kw hiari yake.
Basi kama ndo hvyo tumuache akichoka atasema basi.
 
Hapo kw kweli hatuna cha kumsaidida Anna kw maana ukisoma habari vizuri kuna mahali inasomeka "alitaka kujaribu hiyo kitu (kuingiliwa kinyume na maumbile)" kwa maana hyo anafanya kw hiari yake.
Basi kama ndo hvyo tumuache akichoka atasema basi.
Anna was just a naïve little girl, she thought by doing so she will fit in with other girls in Dar also it was part of curiosity.
 
Ana ni hopeless hana cha kusaidiwa maana tamaa zake zimemponza!! Wanawake haturidhiki tunapenda makubwaa ndo maana yanatukuta mazito!!cha msingi akapigwe bomba kabla hajaanza kutokwa maji na arudi kwao aache kutegemea vibosile uchwaraaa
 
Inaelekea huyu boss ameshaharibu mabinti wengine wengi tu, wazee kama hawa J2 utawakuta kiti cha mbele kanisani na wamevaa nguo sare na wake zao, tena mistari yote ya Bible wanaijua wao.
Na hapa ndipo panapochosha, hiyo huwafanya waaminike kiasi cha kuwaingiza wengine mtegoni....
Mungu atupe hekima..
 
Halafu mtu innocent kama mm nakutana na anna namuoa bila kujua michezo yake,God forbid
Ndivyo ilivyo na wale wasumbufu kama mie nakutana na binti wa huyo boss kalindwa utoto wake wote kwa bastola....
Kisha namwaga na kwenda kumuoa mstaarabu fulani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom