Mjasiriamali1
JF-Expert Member
- Jun 8, 2009
- 891
- 237
- Thread starter
- #61
Na wengine wote mnaoshauri biashara!biashara! Ni kweli biashara ni nzuri kama una alternatives source of income hii ikipata changamoto hii inamuinua mwenzake, na historia ya watu wengi wamefanya kazi kwanza wakapata mitaji mikubwa wakawa na security ndipo wakajiajiri, lakini wewe huna security unapata fedha unaenda ingiza kwenye biashara yote ni risk kubwa. Kama huna mtaji biashara yoyote ile huwezi enda mbali, utazunguka tuu na kuangukaa, wale wanao survive ni wale ambao wanasupport ya watu nyuma yao, hata iyo network marketing wanasema hutumii mtaji, sio kweli kote huko tumepita, kama huna mtaji wa kutosha, the best value for money ni elimu..... Tatizo ni elimu gani ndo nilikuwa natafuta mdau mmoja kanipa ushauri mzuri sana. mojakwamoja naufanyia kazi.