Nipate maoni yako, katika Video hii Hekima iko wapi?

Mmmh!
Dunia ni kama inaelekea kufika mwisho vile.
Hii ni video ya pili ndani ya masaa 24 mimi binafsi kuona, huku ikionyesha wahubiri wa Injili wakidhihakiwa, kughasiwa na kutwezwa hadharani. Video ya kwanza ilikuwa (nadhani ni USA) mhubiri wa Injili akifanyiwa dhihaka, kutwezwa na kughasiwa na makundi ya mashoga na wasagaji.

Angalizo.
Heshimu imani ya mtu mwingine hata kama hukubaliani na kile anachokiamini au kukihubiri. Usitweze utu wake na wala usimfanyie dhihaka.
 
Back
Top Bottom