Nini tatizo la mwanaume kuzimia akifanya mapenzi?

yele uwiiiiiii, kiruuuuu, ote, au alikuwa Mkenya alikuja Rombo kutoa service kwa wale akina mama waliokuwa wanalalamika kuwa wanaume wanalewa sana gongo kiasi kwamba hawapati unyumba!!!!!
ni mkenya huyo...ukitembelea maeneo ya tarakea, wakenya wngi wanakwambia eti wanakuja kupiga shoo za kibabe tz afu wasepe..
 
Ukiona mtu kazima kwenye shoo ujue utamu ulikolea ukamzidia.

Kuna wengine huwa wanajamba, wengine huwa wanapiga yowe kabisa.

Wengine baada ya show wanatembea wanazungumza wenyewe njiani kama wehu, wote huo ni utamu wa show.

Hahahaaaaa we asigwa ni noma hadi kujamba tena nayo ni utamu kukolea mi najua ni kupumua na ni kawaida sana
 
Hahahaaaaa we asigwa ni noma hadi kujamba tena nayo ni utamu kukolea mi najua ni kupumua na ni kawaida sana
teh teh teh Mkuu Peter watu wanajamba aisee.

Usiombe ukapanga rum ambayo haina ceiling board halafu jirani yako akawa mjambaji, unaweza kufa kwa kicheko daily aiseeee.

Bora hata mtu anayekoroma aisee.
 
Hahaha kwahiyo unashauri wachepukaji waende na visu !!!
Mambo ni mengi mno hapo yawezekana alipelekwa puta mpaka kukatokea mgogoro wa mapigo ya moyo na mwendo kasi wa tukio hadi jamaa aka-collapse ila kuna mademu wengine wamefanyiwa mazindiko ya namna tofauti sana mwingine ukigusa una nata( Hawa ndiyo wale unashauriwa kutest na kidole kwanza ili kikinata unakikatia huko then unasepa) Ila wengine ukishiriki naye tu inapelekea hadi kupoteza maisha kabisa ...
 
Back
Top Bottom