bridalmask
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 2,195
- 1,169
Nitazungumzia suala hili kwa aina mbili;Hi wadau,
Nimezoea kusikia wadada huwa wanatabia ya kuzimia kwenye show akimpata mwanaume wa ukweli na kama ana kiu ya muda mrefu.
Juzi kati yalimkuta rafiki hayo ya kuzimia akipiga show mechi ya kirafiki katika uwanja wa ugenini.
Huyu rafiki yangu japo ameoa lakini kwa kucheza friends mechi hajambo. Na kila akitoka mechi lazima anipashe ooo pale nilipiga hat trik ooo uwanja ulikuwa safi ooo alipata upinzani mkali hiyo mechi. Yaani hanifichi kitu.
Sasa wiki iliyopita kaenda kucheza mechi ya ugenini ya kujipima nguvu. Aliyekutana naye siku hiyo sijui ni wa aina gani maana cha moto alikipata. Jamaa kwenda kupiga mechi ile kupiga goli la kwanza si akazimia kuanzia sana nane mchana hadi kuja kuzinduka ni saa tatu usiku na demu kashasepa kitambo. Ila bahati nzuri hakuna chake kilichoibwa.
Jamaa kushtuka akaanza kutetemeka na jasho kwa wingi. Yaani alivyonisimulia ameapa hatakaa arudie ujinga huo.
Napenda kujua kwa wadau tatizo nini hasa hadi mwanaume apatwe na hali hii maana mmmmh kesho inaweza kuwa kwako.
Karibuni.
1. Idealism idea: Ni adhabu toka kwa Allah kutokana na uzinzi/uasherati alio ufanya, warning alert for the red light deem change and and watch out never repeat another time other wise may si mbali be singing for you.
2. Materialism: Huenda khali ile imesababishwa na Hyper tension BP ambapo msukumo wa damu ulikuwa mkubwa sana kutokana na tough game ambapo moyo ulishindwa kufanya kazi kama kawaida yake.
Udhaifu wa mwili kutokana na poor diet taken before ngono hiyo ambapo mwili huitaji au hutumia energy an calories nyingi za mwili na wakati huo huenda jamaa kashindia maji tu, hivyo mwili hukosa lishe na kuwa dhaifu....hatimaye kuhisi kizunguzungu na kuwa Faint.Pia Diabetes
(Kisukari husababisha hilo).Ni kwa ufupi tu...
My Take Now na ni nini kifanyike?NIna shauri yafuatayo;
1. Tuachane na Ngono uzembe.
2. Unapofanya tendo hilo kwa wana ndoa jipange vema na kuwa na maandalizi mazuri na siyo ya zima moto maana utazima wewe.
3. Mlo bora huitajika kwa wana ndoa mara kwa mara maana hupoteza virutubisho (hasa Proteins) vingi wakati wa Tendo la ndoa...n.k.n.k