Nina wazo la kutengeneza Mashine ya kufua umeme usioisha nguvu

ni wazo zuri... hii concept ya free energy yaani watu watumie bila kulipia alikuja nayo Nicolai Tesla miaka mingi iliyopita.. unajua ni nini kilimpata!!? Maabara na workshop zake zilivunjwa na kupigwa kiberiti na vifaa muhimu alivyokuwa anatumia vikachukuliwa na serikali ya US na ndoto zake zikazima hapo. Sasa bwana wewe acha kufafuta troubles na wafanyabiashara i.e TANESCO/SERIKAL
 
Duh, Tanzania ya viwanda itakuja vipi!? Kama tutakandamizana hivi kaka! Bila ubunifu tutafika wapi!?
 
Back
Top Bottom