Nina wazo la kutengeneza Mashine ya kufua umeme usioisha nguvu

Kutengeneza umeme kutumia chuma... Na wasiwasi...then endless mana yake nn as iknow if utatumia chuma basi chuma kitaisha with time sasa hyo endless inamaana gani
 
Kutengeneza umeme kutumia chuma... Na wasiwasi...then endless mana yake nn as iknow if utatumia chuma basi chuma kitaisha with time sasa hyo endless inamaana gani
Mr.mtui usiropoke! usilojua ni sawa na Giza! Unafikiria nitafanya vipi mpaka umeme uwake kwa mawazo yako? Mpaka unikatalie ili hali mpaka sasa upo gizani hujui lolote kuhusu wazo langu zaidi ya Chuma!.
 
source ya kufua umeme kwa kutumia chuma? mkuu unaweza fafanua kidogo.
 
Mr.mtui usiropoke! usilojua ni sawa na Giza! Unafikiria nitafanya vipi mpaka umeme uwake kwa mawazo yako? Mpaka unikatalie ili hali mpaka sasa upo gizani hujui lolote kuhusu wazo langu zaidi ya Chuma!.
Nmeshakutana na watu kama nyie wengi but fshida kubwa inakuja kwenys implementations.. Kuna jamaa nilikutana naye alisema anatakantengeneza genereta ya kutumia maji badala ya mafuta nilimsikiliza but shida ikaja kwenye implementation.... Cha kukushauri tengeneza modo ndogo ambayo sidhan kama itakucost sana... Then hyo modo itumie kwenye kujitangaza am sure hyo modal ukiipeleka wizara ya nishati watakupa tenda hapo hapo...
 
1.First law of thermodynamics Energy in equals energy out- rules out creation of a perpetual motion machine.
2.Second law of thermodynamics it is impossible to create a machine that is hundred percent efficient.
Ushauri usipoteze muda wako bure.
 
Tuchange tumpe
Kwanza aeleze kama ana ujuzi na masuala ya umeme. Halafu atoe pia mkakati wa namna hiyo kitu itakavyotulipa. 1.5 ni pesa ndefu business model ya hiyo mashine yake ni complex kiasi, ikilinganishwa technology ya solar ambayo hata maskini anaimudu. Kuna solar kits zinauzwa around tsh 10000/-, hiyo ya 1.5m kupata wateja itabidi kusugua kichwa.
 
1.First law of thermodynamics Energy in equals energy out- rules out creation of a perpetual motion machine.
2.Second law of thermodynamics it is impossible to create a machine that is hundred percent efficient.
Ushauri usipoteze muda wako bure.
Sina wazo hilo mzee.
 
Back
Top Bottom