Nina mashaka kama Prof Jumanne Maghembe anaendana na kasi ya Rais Magufuli

Baada ya wadau wa Moshi kuona hawana uwakilishi wa kutosha kwenye kikao Cha Baraza la mawaziri ikabidi Jamaa wamuongezee kwani ombeni peke yake wakaona hatoshi ikabidi waingizwe maprofesa wawili ndalichako na maghembe.

Kuchagua waziri kwa vigezo vya ukanda ni udhaifu wa hali ya juu. Endeleeni kuchagua viongozi wabovu mkiulizwa mje na sababu za kipuuzi kama ukanda, jinsia, udini nk Kwa uteuzi wa vigezo hivyo tegemeeni kuendelea kupata mizigo ya kufa mtu.
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Kila mtu ana style yake ya kufanya kazi. Ila kikubwa zaidi ni jinsi unavyowaridhisha wale unaowafanyia kazi. Katika Mawaziri bora katika Utawala wa Rais Magufuli basi katika wale Top Five wanaweza kuwa hivi;

  1. Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa
  2. Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Kikanda na Kimataifa Augustino Mahiga
  3. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi
  4. Waziri wa Elimu Joyce Ndalichako na
  5. Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Moses Nnauye
Katika Mawaziri ambao kwa hakika hawajui nini wanafanya ni pamoja na Waziri wa Maliasili na Utalii Prof Jumanne Maghembe pamoja na Januari Makamba. Hawa wawili sidhani kama watasurvive kwenye utawala wa Rais Magufuli. Inaonekana Januari ana kinyongo cha kutoteuliwa kuwa Waziri Mkuu kama fadhila ya kusimamia vema uchaguzi. Alitaraji kuwa Magufuli atalipa fadhila. Pia kwa vile Kikwete alimpigia sana debe alidhani kuwa yeye ni bora sana kuliko wengine. Matokeo yake ameshindwa kabisa kufanya kazi kwenye Wizara ya Muungano.

Prof Maghembe hakika Kinana na Nape hawakukosea kumuita Waziri Mzigo akiwa enzi za Kikwete. Hakika asipojirekebisha naona ukomo wake umekaribia. Siku si nyingi anaweza kukalia benchi. Utawala wa Magufuli si lele mama. Ni vema akatumia muda huu kujisahihisha vinginevyo atangaze kabisa kuwa hawezi kazi. Ni bora akarudi chuoni kufundisha

Ni mtazamo wangu tu.

Umetumia vigezo vip? au kwako haijalishi kwa kuwa hii ndo kazi yako inayokupa mkate, unalipwa kwa upotoshaji ktk mitandao ya kijamii na mnafanikiwa sana maana Tz imejaa 87% of population are majority of fools in action
 
Mbona kafukuza wengi tu ila kama hajajipanga hivi kwenye majukumu yake aliyokabidhiwa.
Mnataka acheze na media nyie kama kina Kigwangala. Anyway ukweli ni kuwa mlimshauri vibaya kumteus Jumanne kuwa tena waziri tena mkampeleka wizara yenye uchafu mwingi. Haiwezi na tulisema hatoweza. Mliogopa yale maneno ya kutobalance kanda. Mtoeni huyo. Ana miguu mizito hawezi kukimbia
 
wizara yake siyo ya kukurupukia inaitwa kisiki cha mpingo, ukienda kichwa kichwa utajikwaa mwenyewe wazee wa ngwasima unawaacha wanaendelea kuchapa kazi, HAPO NI KAZI TU
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Kila mtu ana style yake ya kufanya kazi. Ila kikubwa zaidi ni jinsi unavyowaridhisha wale unaowafanyia kazi. Katika Mawaziri bora katika Utawala wa Rais Magufuli basi katika wale Top Five wanaweza kuwa hivi;

  1. Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa
  2. Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Kikanda na Kimataifa Augustino Mahiga
  3. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi
  4. Waziri wa Elimu Joyce Ndalichako na
  5. Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Moses Nnauye
Katika Mawaziri ambao kwa hakika hawajui nini wanafanya ni pamoja na Waziri wa Maliasili na Utalii Prof Jumanne Maghembe pamoja na Januari Makamba. Hawa wawili sidhani kama watasurvive kwenye utawala wa Rais Magufuli. Inaonekana Januari ana kinyongo cha kutoteuliwa kuwa Waziri Mkuu kama fadhila ya kusimamia vema uchaguzi. Alitaraji kuwa Magufuli atalipa fadhila. Pia kwa vile Kikwete alimpigia sana debe alidhani kuwa yeye ni bora sana kuliko wengine. Matokeo yake ameshindwa kabisa kufanya kazi kwenye Wizara ya Muungano.

Prof Maghembe hakika Kinana na Nape hawakukosea kumuita Waziri Mzigo akiwa enzi za Kikwete. Hakika asipojirekebisha naona ukomo wake umekaribia. Siku si nyingi anaweza kukalia benchi. Utawala wa Magufuli si lele mama. Ni vema akatumia muda huu kujisahihisha vinginevyo atangaze kabisa kuwa hawezi kazi. Ni bora akarudi chuoni kufundisha

Ni mtazamo wangu tu.
Bora kangi lugola
 
Uwizi ni umri au tabia? Hayo yanayoitwa majibu ni vijana tu ama na wazee pia?
kwani hiyo wizara wakati wa jk vijana si ndio walipewa ,mbona walitolewa kwa kashfa ? eg maige,nyalandu kilaiku s umu ndani watu walikuwa wanamlalamikia
 
Hapana. Hajashughulikia zile kero ambazo Rais Magufuli amezibainisha. Kama hoja ya kufukuza Maghembe amefukuza wakuu wanne wa Hifadhi akiwemo Mkuu wa hifadhi ya Kinapa

Lini hiyo na una uhakika na unayosema ??

Analysis yako kwa kumuweka Nape ni wazi ni ya kishabiki tuu. Ummy, Mbarawa na hata wale wa Tamisemi wamefanya kazi sana kwa kuangalia roots za issues, tambua wahusika wakuu na kutengeneza mfumo endelevu sio kelele za kubeba waandishi na bahasha kila siku....
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Kila mtu ana style yake ya kufanya kazi. Ila kikubwa zaidi ni jinsi unavyowaridhisha wale unaowafanyia kazi. Katika Mawaziri bora katika Utawala wa Rais Magufuli basi katika wale Top Five wanaweza kuwa hivi;

  1. Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa
  2. Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Kikanda na Kimataifa Augustino Mahiga
  3. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi
  4. Waziri wa Elimu Joyce Ndalichako na
  5. Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Moses Nnauye
Katika Mawaziri ambao kwa hakika hawajui nini wanafanya ni pamoja na Waziri wa Maliasili na Utalii Prof Jumanne Maghembe pamoja na Januari Makamba. Hawa wawili sidhani kama watasurvive kwenye utawala wa Rais Magufuli. Inaonekana Januari ana kinyongo cha kutoteuliwa kuwa Waziri Mkuu kama fadhila ya kusimamia vema uchaguzi. Alitaraji kuwa Magufuli atalipa fadhila. Pia kwa vile Kikwete alimpigia sana debe alidhani kuwa yeye ni bora sana kuliko wengine. Matokeo yake ameshindwa kabisa kufanya kazi kwenye Wizara ya Muungano.

Prof Maghembe hakika Kinana na Nape hawakukosea kumuita Waziri Mzigo akiwa enzi za Kikwete. Hakika asipojirekebisha naona ukomo wake umekaribia. Siku si nyingi anaweza kukalia benchi. Utawala wa Magufuli si lele mama. Ni vema akatumia muda huu kujisahihisha vinginevyo atangaze kabisa kuwa hawezi kazi. Ni bora akarudi chuoni kufundisha

Ni mtazamo wangu tu.
Unaposema mtu ni mzigo ainisha maeneo ambayo mpaka sasa katika siku takribani 120 ameshindwa kuyasimamia, la sivyo ni majungu na wivu tu

matatizo mengi ya wizara ya mali asili na utalii si ya kutatua ndani ya siku 100 kwa mfano

1. migogoro ya mipaka ya mbuga za wanyama
2. ujangili
3. uboreshaji wa bidhaa utalii

lakini yale yenye immediate solution mbona ameshayashughulikia, kwa mfano
1. kudhibiti mapato ya serikali
2. kudhibiti makusanyo
3. kutimua wabadhilifu

sasa wewe twambie wapi amefail ili tujue, na tumpime, this is jamii forum, we should argue with fact and not mere speculation just for cheap popularity
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Kila mtu ana style yake ya kufanya kazi. Ila kikubwa zaidi ni jinsi unavyowaridhisha wale unaowafanyia kazi. Katika Mawaziri bora katika Utawala wa Rais Magufuli basi katika wale Top Five wanaweza kuwa hivi;

  1. Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa
  2. Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Kikanda na Kimataifa Augustino Mahiga
  3. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi
  4. Waziri wa Elimu Joyce Ndalichako na
  5. Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Moses Nnauye
Katika Mawaziri ambao kwa hakika hawajui nini wanafanya ni pamoja na Waziri wa Maliasili na Utalii Prof Jumanne Maghembe pamoja na Januari Makamba. Hawa wawili sidhani kama watasurvive kwenye utawala wa Rais Magufuli. Inaonekana Januari ana kinyongo cha kutoteuliwa kuwa Waziri Mkuu kama fadhila ya kusimamia vema uchaguzi. Alitaraji kuwa Magufuli atalipa fadhila. Pia kwa vile Kikwete alimpigia sana debe alidhani kuwa yeye ni bora sana kuliko wengine. Matokeo yake ameshindwa kabisa kufanya kazi kwenye Wizara ya Muungano.

Prof Maghembe hakika Kinana na Nape hawakukosea kumuita Waziri Mzigo akiwa enzi za Kikwete. Hakika asipojirekebisha naona ukomo wake umekaribia. Siku si nyingi anaweza kukalia benchi. Utawala wa Magufuli si lele mama. Ni vema akatumia muda huu kujisahihisha vinginevyo atangaze kabisa kuwa hawezi kazi. Ni bora akarudi chuoni kufundisha

Ni mtazamo wangu tu.
Prof Maghembe si mtendaji, na ni kweli anapwaya kama alivopwaya siku zote.
Wizara ile ya Maji alishindwa kabisa kuiongiza.
Ni kwa vile haijaingiliwa tu kiuchunguzi.
Miradi ya Maji vijijini imeshindwa kutekekezwa kawa vile fedha yake yote imeliwa na maafisa toka majao makuu hadi mikoani.
Nimepata habari kuwa kuna wafadhili wameamua kujitoa kufadili miradi ya maji kwa vile ikimalizika tu, hakuna follow up yoyote ya Wizara-hasa ilipokuwa chini ya Maghembe, hivyo miradi hiyo ku collapse mara tu baada ya kukamilika.

Maghembe si mtendaji anayefaa, hata huko wizara ya Maliasili, si muda mrefu tutasikia madudu.
 
Back
Top Bottom