Magembe u kaskazini ulimbeba,,hapakua na mtu wa fasta toka kaskazini akapewa yeye,lakini hajajirekebisha bado anaendekeza totoz huku akila raha katika mahoteli makubwa ya kitalii kwa nafasi yake akinyanyua simu kempinski tu anapewa suite bure ili akamuudhi munguWadau, amani iwe kwenu.
Kila mtu ana style yake ya kufanya kazi. Ila kikubwa zaidi ni jinsi unavyowaridhisha wale unaowafanyia kazi. Katika Mawaziri bora katika Utawala wa Rais Magufuli basi katika wale Top Five wanaweza kuwa hivi;
Katika Mawaziri ambao kwa hakika hawajui nini wanafanya ni pamoja na Waziri wa Maliasili na Utalii Prof Jumanne Maghembe pamoja na Januari Makamba. Hawa wawili sidhani kama watasurvive kwenye utawala wa Rais Magufuli. Inaonekana Januari ana kinyongo cha kutoteuliwa kuwa Waziri Mkuu kama fadhila ya kusimamia vema uchaguzi. Alitaraji kuwa Magufuli atalipa fadhila. Pia kwa vile Kikwete alimpigia sana debe alidhani kuwa yeye ni bora sana kuliko wengine. Matokeo yake ameshindwa kabisa kufanya kazi kwenye Wizara ya Muungano.
- Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa
- Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Kikanda na Kimataifa Augustino Mahiga
- Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi
- Waziri wa Elimu Joyce Ndalichako na
- Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Moses Nnauye
Prof Maghembe hakika Kinana na Nape hawakukosea kumuita Waziri Mzigo akiwa enzi za Kikwete. Hakika asipojirekebisha naona ukomo wake umekaribia. Siku si nyingi anaweza kukalia benchi. Utawala wa Magufuli si lele mama. Ni vema akatumia muda huu kujisahihisha vinginevyo atangaze kabisa kuwa hawezi kazi. Ni bora akarudi chuoni kufundisha
Ni mtazamo wangu tu.
Wadau, amani iwe kwenu.

ikawaje akarudi mjengoni au ndo kidumu chamaMaghembe hata sisi wapiga kura wake tunajua huyu Jamaa ni Mzigo wa misumari.
Mdomo tu umemlemea hana lingine..
Lengo lako ni nini hasa #2
Ni mtazamo wangu tu.
Kama Mtumbua majipu mwenyewe kashindwa kwenye muungano waziri wa wizara ya muungano atafanya nini? Mh Lizaboni kule kwenu songea huwa mnawavua wazazi wenu nguo?Wadau, amani iwe kwenu.
Kila mtu ana style yake ya kufanya kazi. Ila kikubwa zaidi ni jinsi unavyowaridhisha wale unaowafanyia kazi. Katika Mawaziri bora katika Utawala wa Rais Magufuli basi katika wale Top Five wanaweza kuwa hivi;
Katika Mawaziri ambao kwa hakika hawajui nini wanafanya ni pamoja na Waziri wa Maliasili na Utalii Prof Jumanne Maghembe pamoja na Januari Makamba. Hawa wawili sidhani kama watasurvive kwenye utawala wa Rais Magufuli. Inaonekana Januari ana kinyongo cha kutoteuliwa kuwa Waziri Mkuu kama fadhila ya kusimamia vema uchaguzi. Alitaraji kuwa Magufuli atalipa fadhila. Pia kwa vile Kikwete alimpigia sana debe alidhani kuwa yeye ni bora sana kuliko wengine. Matokeo yake ameshindwa kabisa kufanya kazi kwenye Wizara ya Muungano.
- Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa
- Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Kikanda na Kimataifa Augustino Mahiga
- Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi
- Waziri wa Elimu Joyce Ndalichako na
- Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Moses Nnauye
Prof Maghembe hakika Kinana na Nape hawakukosea kumuita Waziri Mzigo akiwa enzi za Kikwete. Hakika asipojirekebisha naona ukomo wake umekaribia. Siku si nyingi anaweza kukalia benchi. Utawala wa Magufuli si lele mama. Ni vema akatumia muda huu kujisahihisha vinginevyo atangaze kabisa kuwa hawezi kazi. Ni bora akarudi chuoni kufundisha
Ni mtazamo wangu tu.
Alipataje ubungeMaghembe hata sisi wapiga kura wake tunajua huyu Jamaa ni Mzigo wa misumari.
Mdomo tu umemlemea hana lingine..
Sio muda wa kuvumilianaTumvumilie kidogo.
Kuvuana nguo na kusemana ukweli ndo Style ya Presidaa wetu. Kusema ukweli kunakukurubisha na Mungu. Mtu kama hafanyi vizuri ni bora ukamweleza ili ajirekebishe kuliko kumsifia ilhali hafanyi vemaKama Mtumbua majipu mwenyewe kashindwa kwenye muungano waziri wa wizara ya muungano atafanya nini? Mh Lizaboni kule kwenu songea huwa mnawavua wazazi wenu nguo?
Ni kweli Mkuu. Binafsi namkubali sana Prof. Ila kwa sasa hana jipya zaidi ya kutekeleza ile miradi aliyobuni kabla hajatolewa na akina Tumbili. Nasubiri aje na mapya ndipo nimuweke kwenye orodhaI rate Muhongo very highly, hana mihemko ya kijinga inayoonyeshwa na mawaziri walio wengi.
Hivyo unataka Makamba asimame hadharani aseme uchaguzi zanzibar haukuwa huru wakati baba kasema haimuhusu,hivyo usitudanganye.Kuvuana nguo na kusemana ukweli ndo Style ya Presidaa wetu. Kusema ukweli kunakukurubisha na Mungu. Mtu kama hafanyi vizuri ni bora ukamweleza ili ajirekebishe kuliko kumsifia ilhali hafanyi vema
Katika siku ambayo umesema ukwel ,leo nakupa kongole......japo juwa unaandika propoganda sana ila leo nimekukubali ...Huyo Maghembe sio mzigo tu ni rumbesa ,uwezo wake ni mdogo sana wa kufikiri na kutenda pia ,kule jimboni hakuna kitu amefanya .Naomba Makufuli amrudushe akatumikie wana Mwanga katika mkoa wa kilimanjaro jimbo lake ni maskin kupita yote,Mwanga mjini hata maji ya kunywa hakuna kabisa na wala hata hahangaiki kutafuta jins ya kupata maji...Wadau, amani iwe kwenu.
Kila mtu ana style yake ya kufanya kazi. Ila kikubwa zaidi ni jinsi unavyowaridhisha wale unaowafanyia kazi. Katika Mawaziri bora katika Utawala wa Rais Magufuli basi katika wale Top Five wanaweza kuwa hivi;
Katika Mawaziri ambao kwa hakika hawajui nini wanafanya ni pamoja na Waziri wa Maliasili na Utalii Prof Jumanne Maghembe pamoja na Januari Makamba. Hawa wawili sidhani kama watasurvive kwenye utawala wa Rais Magufuli. Inaonekana Januari ana kinyongo cha kutoteuliwa kuwa Waziri Mkuu kama fadhila ya kusimamia vema uchaguzi. Alitaraji kuwa Magufuli atalipa fadhila. Pia kwa vile Kikwete alimpigia sana debe alidhani kuwa yeye ni bora sana kuliko wengine. Matokeo yake ameshindwa kabisa kufanya kazi kwenye Wizara ya Muungano.
- Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa
- Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Kikanda na Kimataifa Augustino Mahiga
- Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi
- Waziri wa Elimu Joyce Ndalichako na
- Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Moses Nnauye
Prof Maghembe hakika Kinana na Nape hawakukosea kumuita Waziri Mzigo akiwa enzi za Kikwete. Hakika asipojirekebisha naona ukomo wake umekaribia. Siku si nyingi anaweza kukalia benchi. Utawala wa Magufuli si lele mama. Ni vema akatumia muda huu kujisahihisha vinginevyo atangaze kabisa kuwa hawezi kazi. Ni bora akarudi chuoni kufundisha
Ni mtazamo wangu tu.
Sijahusisha suala la uchaguzi Zanzibar. Wizara ya Muungano ina mambo mengi ikiwa ni pamoja na suala la Mazingira. Kama Makamba angekuwa serious, basi angejitokeza hata kwenye suala la mazingira akafanya kile ambacho Watanzania wanahitaji. Kashindwa kusimamia hata suala la usafi matokeo yake miji inakuwa michafu na hana program zozote. Ijapokuwa suala hilo lipo Halmashauri, ila Idara yake ya Mazingira ndiyo inayohusika kuratibuHivyo unataka Makamba asimame hadharani aseme uchaguzi zanzibar haukuwa huru wakati baba kasema haimuhusu,hivyo usitudanganye.
Nakupa LIKE ya neno kwa kuwa mkweli daima. Yuko wapi SIMIYU YETU, maana yeye ni kusifia tu!Wadau, amani iwe kwenu.