Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 5,956
- 13,353
Never fit in someone's shoes.Mbona kuna madaktari pia wanahangaika mtaani kwa sasa
#YNWA
Never fit in someone's shoes.Mbona kuna madaktari pia wanahangaika mtaani kwa sasa
Itakua maana alipelekwa wilayani huko na alikua ndo anaanza internship hospitali ya serikali, akakaa miezi kadhaa akarudi dar,, labda aliona yaliyokua akilini mwake yapo tofauti na uhalisiaOoh huyo wa china alisepa kisa maslai madogo au?
Ya kwako ipo wapKwenye maisha kila mtu na mipango yake '"FOLLOW YOUR HEART""
#YNWA
Sawa mkuu,,,,mshahuri basi weweSoma kwanza heading yake vizuri halafu uje kuandika tena..
#YNWA
Kwa hiyo akusikilize wewe siyoHatufanani MALENGO na DHAMIRA ya maisha.
Mimi nilipiga short way, nikasoma diploma, nikaingia kazini nikaanza biashara nikarudi bachelor.
Niliingia dip nikiwa na vigezo vya bach, ila sijawahi mshauri mtu afanye hivyo ""JUST FOLLOW YOUR HEART""
#YNWA
""Kwann iyo hela ya kusoma miaka mitano mengine halaf urudi mtaani uwe huna la kufanya usianze biashara mdogo wangu ""Ya kwako ipo wap
Heading ""Nina degree ya Biotechnology and Lab Science. Nataka mwakani nijaribu kuapply Clinical Medicine. Je, watanikubalia? ""Sawa mkuu,,,,mshahuri basi wewe
AFATE MOYO WAKE.Kwa hiyo akusikilize wewe siyo
Nenda China kanunue vifaa tiba anzisha duka kkoo, think out of boxWanajamiiForums naomba kuuliza
Nahitaji msaada pia
Nina degree ya Biotechnology and Lab Science, nimesomea SUA nimegraduate tokea 2021
Nipo mtaan kazi sijapata lakini ndoto yangu ni kuwa Daktari. Nataka mwakani nijaribu kuapply CLINICAL MEDICINE. Je, watanikubalia maana kidato cha nne nimemaliza 2013.
Naomba msaada.
Kama hujakurupuka na wewe ,,,ameshachelewa yy kaomba mwaka jana 2023 na sasa ndo hivyo imepita ila alikua na uwezo wa kuomba ndiyo.Heading ""Nina degree ya Biotechnology and Lab Science. Nataka mwakani nijaribu kuapply Clinical Medicine. Je, watanikubalia? ""
Anataka MWAKANI, Unamwambia kachela, kwani MWAKANI umefika?
#YNWA
Post ya 2023,na sasa siyo mwakani?Heading ""Nina degree ya Biotechnology and Lab Science. Nataka mwakani nijaribu kuapply Clinical Medicine. Je, watanikubalia? ""
Anataka MWAKANI, Unamwambia kachela, kwani MWAKANI umefika?
#YNWA