baba glory
JF-Expert Member
- Jan 22, 2016
- 292
- 212
Hapana mbona Waafrika tulikuwa mbali sana kwenye teknolojia!? Sema wazungu walipokuja during colonial era ndo mambo yakabadilika hasa kiindi cha utumwa maana manpower yote ilichukuliwa kwenda utumwani na ile instability ilisababisha watu wasijihusishe na mambo ya uhunzi ila kiukweli hao mbwa wasingekuja tungekuwa mbali pamoja na ustaarab wetu.